comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Unamaanisha nchini mbiBaadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.
ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.
zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
Unamaanisha nchini mbi atachukua nchi?Baadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.
ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.
zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
Hii nakuhifadhia bwana mtabiriILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.
HAkuna wa kupindua meza hiyo kila mtu anajua lakin wanachotaka ni kuonesha mamlaka nguvu ya wananch ni nini lengo ni kuusimamisha uchaguz na kuuvuruga tukae chin tufanye uchaguz halalBaadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.
ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.
zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
Hiyo uhakikaHii nakuhifadhia bwana mtabiri