Hili lijamaa bana . . .

Hili lijamaa bana . . .

pole yake mdada ila mbona unasema kina dada wawe makini, huyo dada hakua makini kivipi?
katika hali ya kawaida mtu hawezi kukutongoza kwa kulazimisha hivyo kwa mujibu wa stori umeona mpaka kulikuwa na upiganaji kidogo hadi jino limetoka.je kama mdada angezidiwa nguvu huoni kulikuwa na uwezekano wa kubakwa.sasa apo huelewi nini wanawake wawe makini na watu ambao hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom