Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa

Hawa wanaobisha usikute hata kamusi za Kiswahili hawana na huenda hata hawajawahi kujisumbua kuzisoma.
Mi najua mtu anaweza kunza na tusi mwanzo mwa sentensi afu akamalizia nyoko
 
Linatumika na baadhi ya makabila ya kibantu, kama wewe ni Mzaramo na halimo kwenye kamusi yenu, ulizia kwa Waluguru kwa sababu ndio ndugu zenu wa karibu.
 
Nyoko ni kiswahili,hata kwa makabila ya wahaya na wanyambo nyoko =mama,but tukubaliane kuwa matumizi yake ya awali lilikua likitumika kama tusi likianza na "prefix" inayotaja kiungo cha uzazi cha kike!

Wasukuma pia
 
Hata mimi kwa lugha yangu ya asili ni mama..sio tusi
Kwa lugha ya wapi jamani mtujuze maana sijawahi sikia neno hilo Nina matumizi mbadala
 
Kamponiye unyoko maaana yake kamsalimie mama yako
 
Ahseee..! Kwahyo mnataka kuniambia leo hii nikimuita mama 'nyoko' atanielewa.

Acheni bange hzo. Lugha inabadilika kutokana na wakati, jamii husika na unae ongea nae. Acheni kupotosha.

Nyoko litabaki kuwa tusi.,, 'abusive language'
 
Nyoko sio tusi kwa kibantu nyoko ni mama hata kule kwetu south tatizo ni lugha za mtaani ndo neno hilo lilitumika vibaya
 
Nyoko sio tusi kwa kibantu nyoko ni mama hata kule kwetu south tatizo ni lugha za mtaani ndo neno hilo lilitumika vibaya

Kwa lugha zenu za kibantu za kipimbi, endeleeni waita mama zenu nyoko.

Mama yako nyoko, na kamsalimie hivi .. 'SHKAMOO NYOKO'.., then utuletee mrejesho.

Kwa kiswahili neno hilo ni taboo/mwiko.
 
Kwa lugha zenu za kibantu za kipimbi, endeleeni waita mama zenu nyoko.

Mama yako nyoko, na kamsalimie hivi .. 'SHKAMOO NYOKO'.., then utuletee mrejesho.

Kwa kiswahili neno hilo ni taboo/mwiko.

Mama yangu hawezi kunishangaa anajua kimakonde vizuri "ANYOKO" kwetu inamaana mama yako, sasa sijui we ni kabila ungetueleza kwanza yawezekana we sio mbantu ndo maana unashangaa au aujui lugha ya kabila lako
 
kwa hiyo vijana wanaposema jamaa ni nyoko wanamaanisha jamaa ni mama au wanatumia bila kujua???????????
 
Kwa wasukuma inatamkwa Noko (nadhani ndo hiyo nyoko) ikiwa na maana ya mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…