Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Hata ingekuwa mimi sijiuzuru kwani nisipojiuzuru kuna hasara gani?Viongozi wa kiafrika,hawana utamaduni wa kujiuzulu.
1. Gari VXR unapewa bure
2. Bima
3. Malupulupu kibao
4. Mshahara mnono
5. Nyumba unapewa na serikali
6. Mafuta ya gari serikali inakuhudumia
Halafu nijiuzuru nijipeleke kwenye shida!