Hili lilinikosesha Pisi kali

Hili lilinikosesha Pisi kali

Pythagoras theorem ni moja ya vitu virahisi sana kwenye mathe.
Kila mtu anaweza kuikariri lakini ukiwekewe Umbo la Polygon uitumie ndio hapo utaanza kumbwela.

ni rahisi kama unatumia kwenye pembr tatu.
 
Back
Top Bottom