Hili limetokea katika kipindi cha skonga-ni aibu.

Hili limetokea katika kipindi cha skonga-ni aibu.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
Jamani mwanafunzi wa shule ya secondary kaulizwa"zikiwa zinacheza simba na yanga na siku hiyo ukapita barabarani na ukakuta taa ya njano inawaka itakua inamaanisha SIMBA ipite au YANGA ndo ipite?kwa kujiamini anajibu YANGA.mmh kweli kwa mwanafunzi wa secondary mtego mdogo kama huo unamshinda?majangaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Sio lazima kila kitu unachokiona ulete humu,yawezekana elimuya usalama barabarani hana,na huyo aliyemuuliza nae zombi
 
Jamani mwanafunzi wa shule ya secondary kaulizwa"zikiwa zinacheza simba na yanga na siku hiyo ukapita barabarani na ukakuta taa ya njano inawaka itakua inamaanisha SIMBA ipite au YANGA ndo ipite?kwa kujiamini anajibu YANGA.mmh kweli kwa mwanafunzi wa secondary mtego mdogo kama huo unamshinda?majangaaaaaaaaaaaaaaaa.

Sasa mwanafunzi huyo kama ndio katoka kijiji kwetu jana ambapo hakuna traffic lights atajuaje mambo ya taa ya njano na kijani? Angalau anajua njano ni rangi ya Yanga!
 
Acheni kutetea ujinga, madogo sikuiz hawajui vitu. Kuna shule nilikua napigisha pindi kama tempo vile sa kulikua kunapanel ya kusahisha mitihan ya terminal. Kene kiswhl dogo kaambiwa aandke methali zozote zile na atolee maana,kwanin dogo asitupie mistari ya taarabu. Mwingine kaambiwa achore map ya triangular trade akachora triangle basi akamaliza na mwingne hadi lake victoria limemshnda kulichora afu hao wote ni form two. Sa hapo unategemea kitatokea nini kene necta?
 
Back
Top Bottom