Hili limetokea usiku wa leo... Nimetokwa na machozi

Hili limetokea usiku wa leo... Nimetokwa na machozi

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Sikuwa najua kumbe huyu mlinzi wa hii Kampuni kubwa ya Ulinzi hapa DSM usiku ana mwalika mwenzie aje alale kibarazani pangu apigwe na AC.

Unajua mimi kwenye hii apartment ninayoishi ina vyumba 4. Kila chumba,korido,jikoni,washrooms zote vyumbani kuna AC. nikaamua na kuweka AC kibarazani pia ili napokaa pale nje nijisikie kama nipo home kule Ulaya au Marekani.

Mimi ukija kwangu njoo na jacket au sweater.na hizi AC ni heavy duty zinawaka 24x7 yaani unaweza sema umeingia kwenye friji.

Ila sasa usije ukadhani ni friji.no...lile friji ndo kuna mtu mmoja nlimkaribisha siku moja akaingia ndani ni kama chumba kabisa unaweka kitanda cha 6x5 na sofa mbili.

Ni friji ambalo nlitoka nalo Israel.kubwa sana. Ukiliacha mlango wazi unaweza kuta kila maji kwenye nyumba yameganda.

So kumbe usiku walinzi wengine wanakimbia malindo yao wanakuja kulala kibarazani pangu.wapate ubaridi na faraja moyoni.nmejisikia huzuni sana.

Siku naweka ile AC pale kibarazani fundi akanambia eti ngeweka fan.nlimwambia fan zinasambaza vumbi.lakini sasa nmegundua kumbe nimesaidia watu kupata faraja.

Basi angalau kwa hali hii sipati joto kabisa la dar.na pia inanisaidia kukumbuka hali ya majira ya baridi ulaya na marekani.

Nipo hapa naangalia CCTV cameras ndo nawaona walinzi wawili wamelala usingizi mzito huku wanatabasamu.bunduki wameweka chini mmoja mkono mmoja kaingiza kwenye suruali.wamelala huku wametabasamu kwa furaha.

Nimetokwa na machozi kwa furaha na huzuni.
 
Hahahaha . Wana saikolojia WA maisha wanakwambia ' Most of the time u will become whatever Ur pretending to be' .

Mtoa mada hayo maisha hata kama.hauna i.am.telling you one day I will.become like what u pretend to be ..u will become rich ..so don't stop that.
 
Mwamba shtuka huko usingizini uliko! This is 2020 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
images%20(6).jpeg

Sukari bado bei ile ile, kwanini unatunywisha chai isiyo na sukari?

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
🤣🤣🤣🤣 Mkuu Unaandika Kama The Akili Kubwaziii Le Mobimba LeMutuzii U Know!!!🤣🤣🤣 Au Ndio Wewe Mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu ww ni mbunifu sana yaan unakaribia hata kumpita bwana gudume na hekaya zake

yess BiShoo haswaaAaa
 
Back
Top Bottom