Hili linanitatiza

Ushauri mzuri pia. Unajua mara nyingi binadamu tunapotoa ushauri huwa tunatengeneza bias na kukupa ushauri kuonyesha kuwa tatizo liko kwa wengine na mara chache sana watu wanafikiria kukupa ushauri kuonyesha kuwa labda wewe ndio tatizo.

Sisi wanasheria tumeligundua hili mara nying sana tunapowashauri wateja wetu. Mara nyingi mteja anakuja akidai kuwa kaonewa na mwenzi wake lakini ukichunguza sana unakuja kugundua kuwa mteja wako ndiye tatizo na unaanza kazi ya damage litigation.
 

malizia hii story maana naona ni nzuri sana,
 
pole sana Rain, God will make a way for you.
Jaribu kukaa naye na kumweleza zaidi kuhusu hoja zako,ikiwezekana ni bora sana kuhamia dar kikazi maana mampenzi ya mbali si mazuri
 
Rain, kwanza pole. LD ameelezea vizuri sana. Zingatia aliyoyaeleza na mazuri. LD ahsante umemweka vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…