Habari wadau!
Ukitaka kujua tabia nzuri au ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja!
Jambo kama hili huwa linatatulikaje?
Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na wadogo wanaohitaji uangalizi au usimamizi!
Mama kuanza kuuza mali, viwanja, mashamba kimya kimya pasipo hata kuwashirikisha watoto wake wakubwa! Na hakuna cha maana wala jambo la msingi analofanya.
je, mama wa namna hii ni mbinu gani inahitajika kumdhibiti!?
Maana hana dhiki ya lazima kuuza hovyo maeneo kwasababu anapata kodi kutoka kwenye nyumba za kupangisha, pia watoto wanamtumia pesa ya chakula! Na kilimo anafanya hivyo hakuna dhiki!
Kinachotia mashaka ni speed yake ya kuuza mashamba na mali kimya kimya pasipo hata kuwashirikisha watoto wakubwa ilihali bado kuna mtoto anaehitaji utegemezi kiasi cha wale wakubwa kulazimika kumtunza mdogo wao!
Alihali mama yao kaachwa vizuri na mmewe lakini kaamua kuuza na haambiliki!
Na pesa anazouza hakuna cha maana anachokifanya.
Tatizo kama hili mnalitatuaje?
(Note; Watoto ni watu wazima baadhi lakini bado kuna mdogo ambaye nitegemezi)