Tanzania tuna jicho kila SehemuNimekuja na hii mada baada ya kusikia wakenya wengi wakilalamika kwamba wachina wameivamia Kenya na kuchukua kazi zao kuanzia kwenye miradi mikubwa mpaka kwenye biashara ndogo ndogo
Je Kenya serikali yenu inashindwa kufanya kitu kama hiki ili kulinda maslahi ya mkenya wa kawaida ambao ndio wanaongoza ukanda huu kwa kukosa ajira?
Million 950 zitapatikana hapo na watanzania 95 watapata ajira mpya.
View attachment 1243833View attachment 1243834View attachment 1243835
Sidhani kama Kenya ina sheria ya muhamiaji haramu, wameachia nchi yao kama soko la mnada ndio maana hawawezi control mambo kama hayo halafu kitu kingine ni rushwa iliotopea na wananchi sio wazalendoTanzania tuna jicho kila Sehemu
Leo hii kuna Waethiopia wamedakwa wanaelekea SouthAfrica kupitia Tanzania.
Hii ni effective Government ndio maana tunawanasa.
Ukifika E3-Nairobi ndio utaamini Kunyaland ina kiwanda cha Alshabaab
Nyumba kumi tulijaribu Kenya tukashindwa. Sisi hatuna udaku na upekuzi wa kike kama nyie.Sidhani kama Kenya ina sheria ya muhamiaji haramu, wameachia nchi yao kama soko la mnada ndio maana hawawezi control mambo kama hayo halafu kitu kingine ni rushwa iliotopea na wananchi sio wazalendo
Tanzania wananchi ni wazalendo sana, mtanzania akikutilia mashaka lazima akure port iwe kwenye office ya Mtaa au Kijiji, Kenya hawana Balozi wa nyumba 10/10 (jumbe)
Angalia mjinga wa kenyaHao hapo mumewakamata wakiiba madini, Wachina wametafuna nchi yenu sana na wote hao wameingizwa kinyemela na Watanzania wenyewe, hawakuja na kushukia humo bila kuelekezwa wapi pa kwenda kuiba, inauma sana mnavyoliwa. Mahandaki yamebaki tupu na nchi bado maskini ya kutupwa.
Wachina hawapo sana kwenye madini, China imekamata Tanzania kwenye bidhaa za viwandani sana kuliko eneo lingine na kwenye viwanda, kwa sasa China ndio muwekezaji mkubwa Tanzania kutoka njeHao hapo mumewakamata wakiiba madini, Wachina wametafuna nchi yenu sana na wote hao wameingizwa kinyemela na Watanzania wenyewe, hawakuja na kushukia humo bila kuelekezwa wapi pa kwenda kuiba, inauma sana mnavyoliwa. Mahandaki yamebaki tupu na nchi bado maskini ya kutupwa.
LOL lakini si mnaona mnavyopigwa na shabab hasa kujitoa muhanga, adui hawezi kujitoa muhanga kama sio Mkazi wa eneo hilo alieingia illegallyNyumba kumi tulijaribu Kenya tukashindwa. Sisi hatuna udaku na upekuzi wa kike kama nyie.
Kama walijaribu kumuiga magu Kupambana na wafanyakazi hewa ikashindikana kwao wakaishia kudeactivate mitandao ya kijamii πππ hiyo wataanzaje kuweza.Je Kenya serikali yenu inashindwa kufanya kitu kama hiki ili kulinda maslahi ya mkenya wa kawaida ambao ndio wanaongoza ukanda huu kwa kukosa ajira?
LOL mkuu usiwasikilize wakenya wa jfKama walijaribu kumuiga magu Kupambana na wafanyakazi hewa ikashindikana kwao wakaishia kudeactivate mitandao ya kijamii πππ hiyo wataanzaje kuweza.
Kila jambo lenye kuwasaidia wananchi wa hali ya chini haliwezi kufanikiwa Kenya. Kitendo cha kushindwa kwa mpango wa Nyumba kumi Kenya, ndio kumefanya Kenya ishindwe kukabiliana na mashambulizi ya Alshabaab na ujambazi uliokithiri Kenya.Nyumba kumi tulijaribu Kenya tukashindwa. Sisi hatuna udaku na upekuzi wa kike kama nyie.
Ubalozi ni muhimu sana mkuu maana kila balozi anafahamu watu wake.LOL mkuu usiwasikilize wakenya wa jf
Wanafatilia sana huu mfumo wetu wa nyumba 10/10
Hata mfumo wao mpya walioupachika jina ugatuzi walikuja kujifunza Tanzania, sababu miaka yote Tanzania ina huo mfumo ila inaitwa local government ambao mfumo wao wa ugatuzi umecopy kila kitu huko
Angalia jinsi wwnavyokuja kujifunza kuhusu Balozi wa nyumba 10 /10
Soma comments za wakenya kwenye hii tweet [emoji23][emoji23][emoji23]
You're very useless Bantu-gumboro.Aisee, hii tweet imejaa comments za maana sana kwa GoK, itawasaidia kama wakiisoma...
Kila jambo lenye kuwasaidia wananchi wa hali ya chini haliwezi kufanikiwa Kenya. Kitendo cha kushindwa kwa mpango wa Nyumba kumi Kenya, ndio kumefanya Kenya ishindwe kukabiliana na mashambulizi ya Alshabaab na ujambazi uliokithiri Kenya.
Yale maeneo yaliyofanikiwa kutekeleza mpango wa Nyumba kumi, sasa hivi wanaishi kwa Amani, na imekua ni fundisho kwa sehemu zingine za Kenya.
Rushwa, ubinafsi, ukabila na uongozi legelege wa serikali ya Kenya, ndivyo sababu kuu inayosababisha miradi mingi kushindikana huko Kenya.
Huwa Wanajikuta wajuaji πππAisee, hii tweet imejaa comments za maana sana kwa GoK, itawasaidia kama wakiisoma...
Hapo ata usijidanganye, Mbona hawahamkuwashika kabla wavuke mpaka??LOL lakini si mnaona mnavyopigwa na shabab hasa kujitoa muhanga, adui hawezi kujitoa muhanga kama sio Mkazi wa eneo hilo alieingia illegally
Hata Marekani huwezi kukaa bila kujulikana kutokana na systems zao
Hao hapo mumewakamata wakiiba madini, Wachina wametafuna nchi yenu sana na wote hao wameingizwa kinyemela na Watanzania wenyewe, hawakuja na kushukia humo bila kuelekezwa wapi pa kwenda kuiba, inauma sana mnavyoliwa. Mahandaki yamebaki tupu na nchi bado maskini ya kutupwa.
Hapo ata usijidanganye, Mbona hawahamkuwashika kabla wavuke mpaka??
Shambulio la Garissa University:
Rashid Charles Mberesero, who was given a life sentence, is a Tanzanian, while the other two men, Mohamed Ali Abikar and Hassan Edin Hassan, are Kenyans.
Garissa University attack: Tanzanian and Kenyans get long sentences
A Tanzanian receives the longest sentence for the 2015 militant raid which killed 148 people.www.bbc.com
A Tanzanian man facing six terrorism charges has been jailed by a Lamu court for 110 years.
Abdul Harun Karim was found at Kiwayu Island in Lamu County three years ago while recording a video entitled "suicide bomber".
Man on terror charges jailed for 110 years
Man to be repatriated to Tanzania upon completion of termwww.standardmedia.co.ke
Three Tanzanians have been handed a 15-year jail term each after being charged with terrorism in Kenya.
The trio from Zanzibar, a semi-autonomous archipelago, were arrested last year in the border Wajir County, in northeastern Kenya attempting to cross into Somalia. They were found in possession of items used in terrorism acts.
Mbarouk Ali Adibu (34), Idarous Abdirahman (32) and Islahi Juma (22) appeared before Wajir Senior Resident Magistrate Amos Makoros for sentencing on Wednesday following convictions on Tuesday.
They will now serve their sentences at Wajir Prison.