Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Nimekuja na hii mada baada ya kusikia wakenya wengi wakilalamika kwamba wachina wameivamia Kenya na kuchukua kazi zao kuanzia kwenye miradi mikubwa mpaka kwenye biashara ndogo ndogo
Je Kenya serikali yenu inashindwa kufanya kitu kama hiki ili kulinda maslahi ya mkenya wa kawaida ambao ndio wanaongoza ukanda huu kwa kukosa ajira?
Million 950 zitapatikana hapo na watanzania 95 watapata ajira mpya.