Hili linawezekanaje Wadau?

Hili linawezekanaje Wadau?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Marehemu alifariki akiwa ktk ajali ya Gari.

Kwa mujibu wa ataarifa zilizosambaa mitandaoni aliokena aakiwa katika gari la Kifahari aina ya Jeep.

Gari lile pekee linakosti milioni zaidi ya 100.

Hiki kituko kinatoka wapi? Sio maigizo haya?
IMG-20240808-WA0012.jpg
 
Utajiri mwingine hauna maana yoyote nijuavyo raha ya utajiri ukuwezeshe kuishi kwa raha uweze kula vizuri,kuvaa vizuri,kujipatia matibabu vizuri pale unapopata changamoto ya maradhi nk wewe mwenyewe pamoja na familia yako na watu wako wa karibu yaani kwa ujumla kuyafanya maisha yako hapa duniani kuwa mepesi lakini kama hayo huwezi kuyafanya basi utajiri wako hauna maana.
Mambo ya kuwa na hela halafu unatakiwa ulale chooni,hurusiwi kununua nguo nzuri,hutakiwi kula vizuri labda ukale ukoko kwa mama ntilie au hutakiwi kumsaidia mtu mara sijui kila asubuhi kabla ya kutoka nyumbani unatakiwa uingie kwenye chumba fulani ambacho haruhusiwi mtu mwingine kuingia humo kufanya hiki au kile ujue kabisa huo utajiri haukusaidii chochote bora uishi kwenye maisha yako ya ulofa huku ukiwa huru kufanya chochote unachotaka kama lipo ndani ya uwezo wako.

Andiko langu halimkusudii yeyote bali iwe tahadhari kwa yeyote anayetamani utajiri wa mchongo.
 
Nimeshtushwa sana khaaa
 
Mzee umeandika in details kama vile umeshawahi kuchukua Burungutu la wazee wa Damu😆😆😆
 
Unafiki mbaya sana.
Sio wote wanakuja kwenye misiba kufanya ibada ya mazishi.
Wapo wanaokuja kutangaza kazi zao za kisanii, wapo wanaokuja kujiuza miili yao , wapo wanaokuja kujibrand kisiasa na wapo wanaokuja kupeana 5 baada ya kufanikiwa kumuua marehemu.
Kujiziuza miili hadi misibani?
 
Sauli alikuwa na pesa nyingi kitambo sana,,, tangu niko primary school Sauli anamiliki mapikipiki na magari ya kifahari kibao, pia ana kaka yake ana mpunga mrefu sana…..
Hiyo pesa wamechanga matajiri wenzie wanakikundi chao kinaitwa “washika dau” na watu wengine ili kusaidia matibabu ya mama yake…
Ni kama rambi rambi tu….
 
Back
Top Bottom