Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Okay.....safi sanaSauli alikuwa na pesa nyingi kitambo sana,,, tangu niko primary school Sauli anamiliki mapikipiki na magari ya kifahari kibao, pia ana kaka yake ana mpunga mrefu sana…..
Hiyo pesa wamechanga matajiri wenzie wanakikundi chao kinaitwa “washika dau” na watu wengine ili kusaidia matibabu ya mama yake…
Ni kama rambi rambi tu….