Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wanaoifahamu vizuri hiyo familia wanaweza kuwa na la kuzungumza.Marehemu alifariki akiwa ktk ajali ya Gari.
Kwa mujibu wa ataarifa zilizosambaa mitandaoni aliokena aakiwa katika gari la Kifahari aina ya Jeep.
Gari lile pekee linakosti milioni zaidi ya 100.
Hiki kituko kinatoka wapi? Sio maigizo ha
Thread ClosedWewe hushangai watu wanapomchangia Samia mamilion ya hela kuchukua form ya Urais?
Hapo wadau wameonesha upendo kwa mama baada ya mtoto kufariki.
Maskini huwezi kuazimwa gari la fahariLabda haikuwa gari yake, ilikuwa ya kuazima tu
Nimeshtushwa sana khaaaMarehemu alifariki akiwa ktk ajali ya Gari.
Kwa mujibu wa ataarifa zilizosambaa mitandaoni aliokena aakiwa katika gari la Kifahari aina ya Jeep.
Gari lile pekee linakosti milioni zaidi ya 100.
Hiki kituko kinatoka wapi? Sio maigizo haya?View attachment 3064559
Nimeshtushwa sana khaaaUtajiri mwingine hauna maana yoyote nijuavyo raha ya utajiri ukuwezeshe kuishi kwa raha uweze kula vizuri,kuvaa vizuri,kujipatia matibabu vizuri pale unapopata changamoto ya maradhi nk wewe mwenyewe pamoja na familia yako na watu wako wa karibu yaani kwa ujumla kuyafanya maisha yako hapa duniani kuwa mepesi lakini kama hayo huwezi kuyafanya basi utajiri wako hauna maana.
Mambo ya kuwa na hela halafu unatakiwa ulale chooni,hurusiwi kununua nguo nzuri,hutakiwi kula vizuri labda ukale ukoko kwa mama ntilie au hutakiwi kumsaidia mtu mara sijui kila asubuhi kabla ya kutoka nyumbani unatakiwa uingie kwenye chumba fulani ambacho haruhusiwi mtu mwingine kuingia humo kufanya hiki au kile ujue kabisa huo utajiri haukusaidii chochote bora uishi kwenye maisha yako ya ulofa huku ukiwa huru kufanya chochote unachotaka kama lipo ndani ya uwezo wako.
Andiko langu halimkusudii yeyote bali iwe tahadhari kwa yeyote anayetamani utajiri wa mchongo.
Mzee umeandika in details kama vile umeshawahi kuchukua Burungutu la wazee wa Damu😆😆😆Utajiri mwingine hauna maana yoyote nijuavyo raha ya utajiri ukuwezeshe kuishi kwa raha uweze kula vizuri,kuvaa vizuri,kujipatia matibabu vizuri pale unapopata changamoto ya maradhi nk wewe mwenyewe pamoja na familia yako na watu wako wa karibu yaani kwa ujumla kuyafanya maisha yako hapa duniani kuwa mepesi lakini kama hayo huwezi kuyafanya basi utajiri wako hauna maana.
Mambo ya kuwa na hela halafu unatakiwa ulale chooni,hurusiwi kununua nguo nzuri,hutakiwi kula vizuri labda ukale ukoko kwa mama ntilie au hutakiwi kumsaidia mtu mara sijui kila asubuhi kabla ya kutoka nyumbani unatakiwa uingie kwenye chumba fulani ambacho haruhusiwi mtu mwingine kuingia humo kufanya hiki au kile ujue kabisa huo utajiri haukusaidii chochote bora uishi kwenye maisha yako ya ulofa huku ukiwa huru kufanya chochote unachotaka kama lipo ndani ya uwezo wako.
Andiko langu halimkusudii yeyote bali iwe tahadhari kwa yeyote anayetamani utajiri wa mchongo.
Kujiziuza miili hadi misibani?Unafiki mbaya sana.
Sio wote wanakuja kwenye misiba kufanya ibada ya mazishi.
Wapo wanaokuja kutangaza kazi zao za kisanii, wapo wanaokuja kujiuza miili yao , wapo wanaokuja kujibrand kisiasa na wapo wanaokuja kupeana 5 baada ya kufanikiwa kumuua marehemu.
Sasa je!!!Kujiziuza miili hadi misibani?
Uzi hufungweWewe hushangai watu wanapomchangia Samia mamilion ya hela kuchukua form ya Urais?
Hapo wadau wameonesha upendo kwa mama baada ya mtoto kufariki.
Wewe hushangai watu wanapomchangia Samia mamilion ya hela kuchukua form ya Urais?
Hapo wadau wameonesha upendo kwa mama baada ya mtoto kufariki.
📌🔨Thread Closed
Msumari Wa Mwisho Kwenye Jeneza
Mimi bora nishike mjegeje kuliko kuwa na utajiri wa kifala kama huo.Mzee umeandika in details kama vile umeshawahi kuchukua Burungutu la wazee wa Damu😆😆😆
Haha aisee yaani. pesa zitusaidie matatizo ya jamaa na ndugu zetu na ndio rahaMimi bora nishike mjegeje kuliko kuwa na utajiri wa kifala kama huo.