hili liwe fundisho kwetu kina dada/mama/bibi hata kwa baadhi ya kina kaka/baba.

hili liwe fundisho kwetu kina dada/mama/bibi hata kwa baadhi ya kina kaka/baba.

NIMEJICHUBUA,JE KUNA DAWA YA KURUDISHA NGOZI YA ZAMANI?

(hebu ona madhara ya kumkosoa Mungu,turidhike na alivyopenda tuwe jamani)!!
mimi nina miaka 31, na mwaka 2000 baada ya kutoka tanzania na ngozi yangu asili (origino) ambayo ilikuwa ni nyeusi na ya kun'gaa, marafiki zangu hapa texas, walinishawishi niongeze uweupe kidogo ili nami ning'ae. basi nikapata vidonge vya kungarisha mwili, yaani kuwa mweupe zaidi. Na kusema kweli, nilibadilika ngozi, nikawa mweupe sana, na siyo rahisi mtu kujua kama kweli nimetumia madawa, isipokuwa walionifahamu tangu utotoni ndio wanaoshangaa uweupe huu nimeutoa wapi. sasa nilipataga mimba, ambayo ilikuja kutoka, ila sikujua tatizo ni nini. Hapa majuzi tena, nikashika mimba ya pili bahati mbaya mtoto kafa (yaani mimba imeharibika) nilienda kwa dakitari kutaka kujua tatito liko wapi, hapo ndo nikaambiwa kwamba kuna chemicals kwenye mwili wangu ambazo ndio chanzo cha watoto wangu kufa.
nimeambiwa kwamba hayo madini ni mengi mno, na nisipoangalia nitakufa na cancer ambayo inaweza kuanza muda wowote. suluhisho linaweza kupatikana nikisafisha damu, na uwezo huo sina, au kama naweza kurudisha ngozi yangu ya zamani kwa sababu sasa hivi ngozi yangu haina kinga tena. Sisikitikii weupe, kwa maana nikitu ambacho nilikitamani, kwa hiyo mzigo lazima niubebe, ombi langu ni ushauri wa kuweza kutoa hizi kemikali mwilini mwangu.kama ni kufa basi tena. cha ajabu ni kwamba mchumba wangu ametishia kuniacha kwani siwezi kuzaa tena. yaani sasa hivi analala nje full, naumia lakini sina jinsi
naombeni ushauri wenu, niko njia panda

mdau, texas usa

P.s:mimi nawakilisha tu sio mie cheusi niliyetumia mkorogo.:nono:
jumatatu njema.
love you all

ni ajabu mchumba kulala nje? au sielewi lugha.
 
Cheusi mpe ushauri afanyeje arudi kuwa kama wewe

kwa kweli sina ushauri wa kumpa hili liko nje ya uwezo wangu.
nasubiri akishaweza kuirudisha ngozi yake ya asili ndio nitamshauri jinsi ya kuutunza weusi wake na atakua bomba kuliko sasa hivi na weupe wake.
 
Nadhani atapoteza muda sana kuhaingikia kurudisha ngozi. Inabidi atafute msaada zaidi wa kuondoa hizo sumu mwilini. Sina hakika kama hizo reactions ni reversible.
 
Ni nawachukia sana watu waliojichubua. Hakika NINAAWACHUKUA VIBAYA MNO.

Ila wewe ni binadamu gani? Husikitikii weupe, wakati hicho ndicho kitu ambacho kinasababisha kufa kwa watoto wasio na hatia. Ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao. Mpuuzi mkubwa wewe, Alaah!!

Baada ya hapo sasa nakushauri.
Cha kufanya ni kuomba wadhamini, au kutafuta wafadhili ama msaada ili ukasafishe damu. Kama alivyo kushauri Doctor that is a very IMPORTANT issue. Na unatakiwa kuanza mara moja kabla madhara hayaja komaa zaidi. Kama ulisha bahatika kwenda mpaka TEXAS lazima utakuwa na watu na marafiki wengi sana. I mean mtandao mpana sana, hata mimi nitakuchangi. Take decision immediately.

Asanteni sana

usiwachukie maana wana matatizo ya kisaikolojia.mti timamu hawezi kupoteza watoto na bado akasema hajutii weupe wake wa kuchemsha.huo tatizo lake ni kubwa lenye kuhitaji huruma.haya mambo ya kuigiza igiza mashoga ni hatari ndo mana mie sina rafiki wa kike rafiki zangu wote ni wanaume na hawawezi kunishauri kufanya upuzi kama huu.
 
Mwambie aanze kutumia parachichi atarudi katika hali yake ya awali.
 
Nadhani atapoteza muda sana kuhaingikia kurudisha ngozi. Inabidi atafute msaada zaidi wa kuondoa hizo sumu mwilini. Sina hakika kama hizo reactions ni reversible.

dr kamwambia labda akibadili damu itasaidia.
 
Mwambie aanze kutumia parachichi atarudi katika hali yake ya awali.

maparachichi yataondoa hizo kemikali huko damuni au yatangarisha tu ngozi.mwenzio hazai kemikali zinaua watot wake.
 
dr kamwambia labda akibadili damu itasaidia.

Hapo atakachokuwa anafanya ni kuondoa sumu mwilini. Sasa kama hilo litasaidia kurudisha rangi ya ngozi ndo sina hakika. But this is a very complex problem
 
Yaani hawa watu sijui wana matatizo gani hadi kufikia hatua ya kuharibu ngozi zao!
 
nimejichubua,je kuna dawa ya kurudisha ngozi ya zamani?

(hebu ona madhara ya kumkosoa mungu,turidhike na alivyopenda tuwe jamani)!!
mimi nina miaka 31, na mwaka 2000 baada ya kutoka tanzania na ngozi yangu asili (origino) ambayo ilikuwa ni nyeusi na ya kun'gaa, marafiki zangu hapa texas, walinishawishi niongeze uweupe kidogo ili nami ning'ae. Basi nikapata vidonge vya kungarisha mwili, yaani kuwa mweupe zaidi. Na kusema kweli, nilibadilika ngozi, nikawa mweupe sana, na siyo rahisi mtu kujua kama kweli nimetumia madawa, isipokuwa walionifahamu tangu utotoni ndio wanaoshangaa uweupe huu nimeutoa wapi. Sasa nilipataga mimba, ambayo ilikuja kutoka, ila sikujua tatizo ni nini. Hapa majuzi tena, nikashika mimba ya pili bahati mbaya mtoto kafa (yaani mimba imeharibika) nilienda kwa dakitari kutaka kujua tatito liko wapi, hapo ndo nikaambiwa kwamba kuna chemicals kwenye mwili wangu ambazo ndio chanzo cha watoto wangu kufa.
nimeambiwa kwamba hayo madini ni mengi mno, na nisipoangalia nitakufa na cancer ambayo inaweza kuanza muda wowote. Suluhisho linaweza kupatikana nikisafisha damu, na uwezo huo sina, au kama naweza kurudisha ngozi yangu ya zamani kwa sababu sasa hivi ngozi yangu haina kinga tena. Sisikitikii weupe, kwa maana nikitu ambacho nilikitamani, kwa hiyo mzigo lazima niubebe, ombi langu ni ushauri wa kuweza kutoa hizi kemikali mwilini mwangu.kama ni kufa basi tena. Cha ajabu ni kwamba mchumba wangu ametishia kuniacha kwani siwezi kuzaa tena. Yaani sasa hivi analala nje full, naumia lakini sina jinsi
naombeni ushauri wenu, niko njia panda

mdau, texas usa

p.s:mimi nawakilisha tu sio mie cheusi niliyetumia mkorogo.:nono:
Jumatatu njema.
Love you all

pole mwali!
 
ngojea niitumie nafasi hii kumuuliza cheusi kama haambiwagi kapendeza na weusi wake wa jongoo.lol

Ha hah hah....Unauliza ili kutafuta jibu gani wakati kila kitu kiko wazi...Hata ungejipaka mkaa utaambiwa umependeza kwani wasiposema hivyo biailojia hawapit...Ila wadada wengi hudhani wakiwa white...basi idadi ya ...ehhhh Mary umepenza eee, zinakuwa nyingi.

Retired Maj Gen DC (1947)
 
NIMEJICHUBUA,JE KUNA DAWA YA KURUDISHA NGOZI YA ZAMANI?

(hebu ona madhara ya kumkosoa Mungu,turidhike na alivyopenda tuwe jamani)!!
mimi nina miaka 31, na mwaka 2000 baada ya kutoka tanzania na ngozi yangu asili (origino) ambayo ilikuwa ni nyeusi na ya kun'gaa, marafiki zangu hapa texas, walinishawishi niongeze uweupe kidogo ili nami ning'ae. basi nikapata vidonge vya kungarisha mwili, yaani kuwa mweupe zaidi. Na kusema kweli, nilibadilika ngozi, nikawa mweupe sana, na siyo rahisi mtu kujua kama kweli nimetumia madawa, isipokuwa walionifahamu tangu utotoni ndio wanaoshangaa uweupe huu nimeutoa wapi. sasa nilipataga mimba, ambayo ilikuja kutoka, ila sikujua tatizo ni nini. Hapa majuzi tena, nikashika mimba ya pili bahati mbaya mtoto kafa (yaani mimba imeharibika) nilienda kwa dakitari kutaka kujua tatito liko wapi, hapo ndo nikaambiwa kwamba kuna chemicals kwenye mwili wangu ambazo ndio chanzo cha watoto wangu kufa.
nimeambiwa kwamba hayo madini ni mengi mno, na nisipoangalia nitakufa na cancer ambayo inaweza kuanza muda wowote. suluhisho linaweza kupatikana nikisafisha damu, na uwezo huo sina, au kama naweza kurudisha ngozi yangu ya zamani kwa sababu sasa hivi ngozi yangu haina kinga tena. Sisikitikii weupe, kwa maana nikitu ambacho nilikitamani, kwa hiyo mzigo lazima niubebe, ombi langu ni ushauri wa kuweza kutoa hizi kemikali mwilini mwangu.kama ni kufa basi tena. cha ajabu ni kwamba mchumba wangu ametishia kuniacha kwani siwezi kuzaa tena. yaani sasa hivi analala nje full, naumia lakini sina jinsi
naombeni ushauri wenu, niko njia panda

mdau, texas usa

P.s:mimi nawakilisha tu sio mie cheusi niliyetumia mkorogo.:nono:
jumatatu njema.
love you all
pole sana asa na mabox anayobeba huko texas huyo cheupe dawa wa atakuwaje sasa hivi anayejua dawa msaidieni fasta jamani
 
ngojea niitumie nafasi hii kumuuliza cheusi kama haambiwagi kapendeza na weusi wake wa jongoo.lol

nikikueleza hali halisi utadhani najifagilia bure na wala hutaamini ,sikilize nikwambie,yaani mie sio kusifiwa tu ,watu kibao hawapati hata usingizi kwa ajili yangu mie cheusidawa,weupe kitu gani bwana.!!:whistle::biggrin1:
 
Hapo dada nadhani chumvi umezidisha kidogo. Ni vigumu kujua kama kweli usingizi hawapati. Wewe sema tu wanalitamani tundi la Cheusi!
 
Back
Top Bottom