hili liwe fundisho kwetu kina dada/mama/bibi hata kwa baadhi ya kina kaka/baba.

ni ajabu mchumba kulala nje? au sielewi lugha.
 
Cheusi mpe ushauri afanyeje arudi kuwa kama wewe

kwa kweli sina ushauri wa kumpa hili liko nje ya uwezo wangu.
nasubiri akishaweza kuirudisha ngozi yake ya asili ndio nitamshauri jinsi ya kuutunza weusi wake na atakua bomba kuliko sasa hivi na weupe wake.
 
Nadhani atapoteza muda sana kuhaingikia kurudisha ngozi. Inabidi atafute msaada zaidi wa kuondoa hizo sumu mwilini. Sina hakika kama hizo reactions ni reversible.
 
usiwachukie maana wana matatizo ya kisaikolojia.mti timamu hawezi kupoteza watoto na bado akasema hajutii weupe wake wa kuchemsha.huo tatizo lake ni kubwa lenye kuhitaji huruma.haya mambo ya kuigiza igiza mashoga ni hatari ndo mana mie sina rafiki wa kike rafiki zangu wote ni wanaume na hawawezi kunishauri kufanya upuzi kama huu.
 
Mwambie aanze kutumia parachichi atarudi katika hali yake ya awali.
 
Nadhani atapoteza muda sana kuhaingikia kurudisha ngozi. Inabidi atafute msaada zaidi wa kuondoa hizo sumu mwilini. Sina hakika kama hizo reactions ni reversible.

dr kamwambia labda akibadili damu itasaidia.
 
Mwambie aanze kutumia parachichi atarudi katika hali yake ya awali.

maparachichi yataondoa hizo kemikali huko damuni au yatangarisha tu ngozi.mwenzio hazai kemikali zinaua watot wake.
 
dr kamwambia labda akibadili damu itasaidia.

Hapo atakachokuwa anafanya ni kuondoa sumu mwilini. Sasa kama hilo litasaidia kurudisha rangi ya ngozi ndo sina hakika. But this is a very complex problem
 
Yaani hawa watu sijui wana matatizo gani hadi kufikia hatua ya kuharibu ngozi zao!
 
pole mwali!
 
ngojea niitumie nafasi hii kumuuliza cheusi kama haambiwagi kapendeza na weusi wake wa jongoo.lol

Ha hah hah....Unauliza ili kutafuta jibu gani wakati kila kitu kiko wazi...Hata ungejipaka mkaa utaambiwa umependeza kwani wasiposema hivyo biailojia hawapit...Ila wadada wengi hudhani wakiwa white...basi idadi ya ...ehhhh Mary umepenza eee, zinakuwa nyingi.

Retired Maj Gen DC (1947)
 
pole sana asa na mabox anayobeba huko texas huyo cheupe dawa wa atakuwaje sasa hivi anayejua dawa msaidieni fasta jamani
 
ngojea niitumie nafasi hii kumuuliza cheusi kama haambiwagi kapendeza na weusi wake wa jongoo.lol

nikikueleza hali halisi utadhani najifagilia bure na wala hutaamini ,sikilize nikwambie,yaani mie sio kusifiwa tu ,watu kibao hawapati hata usingizi kwa ajili yangu mie cheusidawa,weupe kitu gani bwana.!!:whistle::biggrin1:
 
Hapo dada nadhani chumvi umezidisha kidogo. Ni vigumu kujua kama kweli usingizi hawapati. Wewe sema tu wanalitamani tundi la Cheusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…