cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
- Thread starter
-
- #41
Hapo dada nadhani chumvi umezidisha kidogo. Ni vigumu kujua kama kweli usingizi hawapati. Wewe sema tu wanalitamani tundi la Cheusi!
nikikueleza hali halisi utadhani najifagilia bure na wala hutaamini ,sikilize nikwambie,yaani mie sio kusifiwa tu ,watu kibao hawapati hata usingizi kwa ajili yangu mie cheusidawa,weupe kitu gani bwana.!!:whistle::biggrin1:
:whistle::whistle::whistle::whistle:
wee bisha tu ombea usinione.tena omba sana maana utauita usingizi na usingizi utakukimbia,utatamani kuniona tena lkn hutaniona, amini amini nakuambia,cheusimangala is the rare case.:biggrin1:
Safi sana Cheus, usipojifagilia nani ataweza kufanya hivyo.
Ila naona hujasoma hapo chini....Yaani toka 1947 hadi leo bado ninaweza kukosa usingizi? Labda wajukuu wakiamua kunitania tania tu!!
nikikueleza hali halisi utadhani najifagilia bure na wala hutaamini ,sikilize nikwambie,yaani mie sio kusifiwa tu ,watu kibao hawapati hata usingizi kwa ajili yangu mie cheusidawa,weupe kitu gani bwana.!!:whistle::biggrin1:
Thats big deal, naimagine na unatural wako ulivyo mrembo Cheusi Mungu akuzidishe ung'ae zaidi na zaidi.Nimemuonea huruma sana, wanawake tunahitaji kujikubali vile tulivyo hata hao wanaume nadhani wanapenda natural.Otherwise, Naipenda signature yako:A S thumbs_up:
nimesoma na nimeelewa lkn haijalishi una umri gani cha msingi uwe na macho yanayoona.
jamani kwa nini watu tunakosa ustaarabu namna hii!
Ni nini tena Cheusi?
kuna mtu aliandika coment ya matusi ile mbaya hadi nikahisi alikua amelewa wkt anaandika bahati nzuri mods wameitoa.hivi watu wakiandika lugha za kiporn porn ktk kila jukwaa patakalika kweli.kuna lile jukwaa lao la kiutu uzima lkn sasa nashngaa mtu akiparamia kila jukwaa na lugha za ki X-rated.wengine hatufurahishwi na lugha za matusi!:angry::angry:

huyu cheusimangala anasifiwa ngozi yako au avatar because when I see it, it takes me sometime to move away my eyes...Cheusi mpe ushauri afanyeje arudi kuwa kama wewe