Hili nalo geni ama la kawaida wakuu?

Hili nalo geni ama la kawaida wakuu?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Yaani mmeishi na Mmeo/Mkeo, GF/BF wako kwa muda mrefu tu!
Baadae Mwenzio anaanza kukusisitiza uvae nguo zake za undani! au muwe mna badilishana leo unavaa yake na mwenzio anavaa yako! Hili ni starehe ama inakuwa karaha! Hili jambo linatendeka kweli! Tungekuwa tunauwezo wa kuona kilichovaliwa ndani baada ya nguo za nje ni vituko! Kuna jamaa kaja kazini bahati nzuri ofisi yetu ni midume mitupu! Katuonyesha kabisa kwamba amevaa kufuli la mkewe! Duh nimestaajabu
 
usipostajaabu ya Musa utaona ya hayo ya jamaa yako.
 
kuna ckua ataambiwa avae bikini huyo
 
Siku inayofuata tutaambiwa kavaa viatu vya demu wake na usije ukashangaa jamaa siku ya siku akwaonyesha bra ya demu wake aliyoivaa
 
cross dressing ni jambo lililoko sana katika nchi zilizoendelea na wenye kutaka kufanya hayo ni wanaume na si wanawake.

huyo jamaa yako wasi was wangu ametaka mwenyewe kuvaa lakini kaona atoe kisingizio cha kulazimishwa na mkewe.

Siwezi kuamini kuwa mwanamme hakuwa na uwezo wa kukataa kama asingekuwa anataka
 
mhhh makubwa,ndani ya nyumba kuna mambo,imenibidi nicheke tu,sasa sijui hayo ndio mapenzi au mume *****.
 
kuna ckua ataambiwa avae bikini huyo

du. kweli hii kali!sasa hiyo bikini jamaa akiwa anavaa sijui ile shaft yake itakaaje sipati picha kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyo jamaa hana lolote wivu tu umemjaa anadhani mkewe anapiga safari za nje ya nchi so akivaa ashakumu yake ataona aibu kwenda nchi za nje
 
Umeona eeh, na upande wa pili kuna Mfunyukuzi. Yaani leo sijui wameamkaje wallah!

yaani wanatujazia tu nafac kwa kweli...watupe thread mbili tatu za afya zinatosha.
 
Huyo jamaa hana lolote wivu tu umemjaa anadhani mkewe anapiga safari za nje ya nchi so akivaa ashakumu yake ataona aibu kwenda nchi za nje
there u are,,,sababu kubwa ni wivu coz niliwahi kupata hii proposal!anajua ukivaa chupi ya kiume ni aibu kuonekana nje:becky:
 
du. kweli hii kali!sasa hiyo bikini jamaa akiwa anavaa sijui ile shaft yake itakaaje sipati picha kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahahahha,,,hatavaa bikini si kuna zile nyingine.
 
Back
Top Bottom