mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Faida ipi wewe hebu Weka hapa profit and loss account ya ATCL tangu kuanzishwa kwake. Afu pia si hizi Ndege haziruki zaidi ya Tz zinaotea kutu humo humo afu pia hata zinahofia kuruka Nchi zingine zisije zikakamatwa kwa Madeni mlionayo Kama Nchi?