hawa mi nafikiri wana akili zaidi kuliko hata wewe ambaye umesikiliza taarifa za habari kwa zaidi ya robo karne na bado hujabadili chochote. Taarifa zenyewe za uongo na kupikwa tu. mfano, taarifa ya habari inatangaza riport ya tume ya kuchunguza kifo cha mwangosi, kisha inahitimisha kwa kusema, policcm hawakuhusika, na wewe unajua wamehusika
taarifa ya habari inatangaza, pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7, na wewe umasikini kwako unaongezeka, babu na bibi zako vijijini maisha yanawapiga vibaya. wewe mwenyewe una mwaka wa 6 hujaenda kwenu likizo kisa no nauli
haya unaambiwa tz jeshi letu limejipanga vizuri, kesho unasikia mna ndege moja tena ya msaada na yenyewe imeanguka baada ya kushindwa kuruka sijui kutua, na mbaya zaidi imeua mtz asiye na hatia
shame on those taarifa
mi pia sisikilizi taarifa za bongo na siyo mwanafunzi ni mwalimu, na sitakuja kuwahamasisha wanafunzi wangu wasikilize huu upuuzi