Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanafunzi wako bize na swaga,nyimbo,magemu n.k ikifika tahaarifa ya habari wanatoka nje,ukiuliza mambo ya nchi yao PTO..
wanafunzi wako bize na swaga,nyimbo,magemu n.k ikifika tahaarifa ya habari wanatoka nje,ukiuliza mambo ya nchi yao PTO..
eti bwana,wakizeeka watasikiriza nini!!!taarifa ya habari ya wazee!!Sasa wahangaike na TAHAARIFA ya kazi gani!?
hawa mi nafikiri wana akili zaidi kuliko hata wewe ambaye umesikiliza taarifa za habari kwa zaidi ya robo karne na bado hujabadili chochote. Taarifa zenyewe za uongo na kupikwa tu. mfano, taarifa ya habari inatangaza riport ya tume ya kuchunguza kifo cha mwangosi, kisha inahitimisha kwa kusema, policcm hawakuhusika, na wewe unajua wamehusika
taarifa ya habari inatangaza, pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7, na wewe umasikini kwako unaongezeka, babu na bibi zako vijijini maisha yanawapiga vibaya. wewe mwenyewe una mwaka wa 6 hujaenda kwenu likizo kisa no nauli
haya unaambiwa tz jeshi letu limejipanga vizuri, kesho unasikia mna ndege moja tena ya msaada na yenyewe imeanguka baada ya kushindwa kuruka sijui kutua, na mbaya zaidi imeua mtz asiye na hatia
shame on those taarifa
mi pia sisikilizi taarifa za bongo na siyo mwanafunzi ni mwalimu, na sitakuja kuwahamasisha wanafunzi wangu wasikilize huu upuuzi
MMh...lakini kweli,wanafunzi wengi hawaangalii hizo mambo....lakini hata hao walioangalia for the past ten years,wamepata nini??Siwezi kuwalaumu wanafunzi wala kuwapa chapuo kwa hilo........wakati mwingie mazingira yanawafanya watu ku'behave tofauti....
msomi yoyote unatakiwa kuwa update na informaion kuhusu nchi yako na dunia kwa ujumla kwa mtazamo wangu na faida yake ni kutanua uwezo wa kutafakari/kuchambua/ku-compare matukio,msomi anatakiwa afuatilie habari za ndan na nje,anyway ni mtazamo tu
NASIKILIZA DW KILA SIKU SAA 7 full kuelimika