Gaston Mbilinyi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2010
- 296
- 51
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ufaulu (Division 1-3) wa kidato cha nne umekuwa ukishuka kutoka asilimia 26 mwaka 2006; 17.85% mwaka 2009; 11% mwaka 2010; 9.98% mwaka 2011 na mwaka 2012 ni 5.16%. Kwa mujibu wa takwimu za matokeo ya mwaka jana, wanafunzi waliopata division 1-3 ni 23,520 tu!
Tuipongeze serikali ya ccm hata kwa hili?
Tuipongeze serikali ya ccm hata kwa hili?