Kuna ile taasisi ya freedom of information nadhani inaweza kusaidia kutoa ukweli kama kweli hii taarifa inafahamika kwa serikali ya UK www.ico.gov.uk/for_organisations/freedom_of_information.aspx
TICS inaendeshwa na Riz1 na hiyo law firm anapofanyia kazi behind the scenes. Mpaka JK ang'oke ndio utakuwa mwisho waTICS ama sivyo zigo hilo ndio tunalo hadi 2015!!
jamani msiwe wa kudharau haya mambo kwani hata mkiwa na kumbukumbu nzuri hata habari za richmond zilianza kama hizi
na kupelekea hata rais kuzikebehi kwa kusema kelele za mlango hazimzuii mwenye kulala
Billion 182.5 kwa miaka 5 inawezekana kabisa. TRA wana uwezo wa kukusanya billion kama 200 kwa mwezi. Kwa hiyo mtu akidhamiria kuchota hapo Bil 3 kwa mwezi hawezi kushindwa !