ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Wewe wasema[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mtoto wa kiume na tabia orodheshwa hapo juu huo ni ushoga..
Ni shostito.Hivi shoga ni mtu gani?
AkikujibuMbona hii mada umeileta kimbeya na kimipasho sana??? Je wewe na hao uliowasema mna tofauti gani?
Nina ujuzi wa taarab mkuu.ila vina bado sijaweza.Mbona hii mada umeileta kimbeya na kimipasho sana??? Je wewe na hao uliowasema mna tofauti gani?
Lol,Akikujibu
Nitag..
Kuna kitu hakipo sawa mwilini mwako....Nina ujuzi wa taarab mkuu.ila vina bado sijaweza.