ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Kuna majanga asili mengi duniani (natural disasters)ambayo tunayaona/sikia yakiathiri maisha ya watu lakini hi ni kubwa zaidi.
Pale mtoto wa kiume unapozaliwa kati ya wanawake wengi na ukashindwa kujitofautisha nao.
Mmmmmh usipokuwa shoga unakuwa mbeya hatari. Unaanza kujadili hawara za dada zako,mavazi yao,shoga zao na mwisho hata vimipasho vyao.
Maisha yako mtaani yanakuwa magumu kweli na maujuzi ya kiume unakuwa huna yaani ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
Wanaume tujitambue !!!