Hili nalo ni balaa La wanawake

Hili nalo ni balaa La wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna Wanawake wana balaa utadhani wanatembea
na Ramli ya Mganga,usiombe awe ndo mchuchu wako
Mtagombana deile wanajifanya wanajua kukagua
kuliko maafisa wa TRA Makao Makuu Msipoonana wiki
2 mathalani umesafiri,ukirudi sasa ukafika ule muda
wa kupunga maruhani utamsikia, ''huko ulikoenda uliibiwa na nani?? Mbona Jongoo amesinyaa hivi
Utanieleza nakwambia'', timbwili la haja, kumbe
maskini joto tu la Dar limesababisha Bunsen Burner
imekuwa Non luminous Flame !!
Mtaishi maisha yote
mtu mzima kama uko Laboratory, wanamaswali yao
fyongo-fyongo tu, utasikia ''Mbona unanukia kama kile kisabuni cha EVA cha gesti,leo umeamkia wapi???
Kubwa kuliko utaambiwa ''Leo uko tofauti sana halafu
hata 'kamkojo' kako leo kana lita chache
sana, mwanaume huridhiki weye hata upewe kila
siku'' ..mmmh, yaani hadi lita wanapima kwa macho na
feeling, mweh Kama wewe mtaalamu sana si ukasaidie kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea?? Una
hamishia Biology kwenye mahaba, watu hatupumui
kwa raha,unakaa wima-wima leo ntaambiwa kitu
gani, hukawii kuambiwa mbona Lips zako kavu hivi
umetoka kumbusu nani..khah...Utadhani umeoa
Anthropologist kumbe Banker tu!
 
Hahhahahha Ila Hapo kwenye Kupima Lita Wanaume wengi tunakamatwa... Mana Kama Hujapiga siku Nyingi huwa Unatoa Kikombee

Sasa Mtu una Mwezi halafu unatoa Kijiko.. labda kama Ulikuwa unapiga Punyeee

Ingawa Wanawake wa Design hiyo Wanakera sanaa Ila Huwa Wanafanya Wanaume Atleast kutulia ila Wakizidisha maneno ya Shombo huishia Kuachwa Solemba
 
Yeah, lazima ujitetee kiutu uzima, Unamwambia tu, kama wewe ulikuwa unajikanda basi mimi nilikuwa napunyetuka kimtindo
 
Back
Top Bottom