Hili nalo ni Jambo la kumnyima mtu Kweli?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nimeshangaa sana.

Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie.

Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake.

Kwa wanaume ni nadra kumnyima mwanamke penzi. Anapewa tu. Hatunaga roho mbaya.
 
Wanaume hamuitaji mutual feelings ili mpenzike, ila kwa wanawake ni tofauti kidogo, huwezi penzika na kila mwanaume hata kama hujamfeel, huo utakua ni umalaya tuu😎
 
Ukiachana na magonjwa na mimba ukute hawana shida ila Wanaume ndo hatutaki wapenzi wetu watoe kwa wengine tunataka wawe wa kwetu tu kama pua kamasi unapengea mwenyewe sasa na wao wanaogopa tutakata huduma au ndoa zitavunjika.
 
Ukiwa na ghetto na visent uchwara utawala wengi hata hawanyimi niwewe tu ndo unakuwa mgumu kutoa
#Jokes
Acha uchepukaji kuna magonjwa kama yote ukitaka wakupe kila unaemuona 10 unaokutana nao wepesi 7 wako na U.T.I konk
 

Ilaaa [emoji1787][emoji1787]


Iv na hela ni kitu ya kumnyima mtu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…