Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Muhimbili kule mmeghairi tena ππππ€·ββπ€£Yaani dada zetu tangu wajue nyapu inaitwa kitumbua,wanaringa sana,Hivi Elon maski Bado tu hajamaliza project yetu Ile?
Kama mtu Hana hisia jeNimeshangaa sana.
Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie.
Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake.
Kwa wanaume ni nadra kumnyima mwanamke penzi. Anapewa tu. Hatunaga roho mbaya.
Ye akiwa nazo inatosha kwako. Mpe inshu ale kwani utapungukiwa nini?Kama mtu Hana hisia je
Kama hujampenda jeYe akiwa nazo inatosha kwako. Mpe inshu ale kwani utapungukiwa nini?
Muhimbili kule mmeghairi tena ππππ€·ββπ€£
na sio umnyime kila mtu.. tazama hata PK umefungaaa hujatupa nafasi ya kuomba ili tujue tumekatiliwa au lah ππSio, lakin ndo umpe kila mtu.. Mnhππππ
hasa Tunduru na Ntwara π€£Mtoa mada siaghlabu kashwahi kuishi kusini kule Hawana hiyana kabisa.
Mbona hamueleweki sasa,,, mara robot za Elon musk mara wasudani...kuweni specific mnataka nini πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haiombwi hivyo
Mimi tu yatoshaSio, lakin ndo umpe kila mtu.. Mnhππππ
TumbuaMbona hamueleweki sasa,,, mara robot za Elon musk mara wasudani...kuweni specific mnataka nini πππ
hapo sawaπππTumbua
ππBado nikiomba nitanyimwahapo sawaπππ
Sikuizi mbona rahisi tu,,, wenyewe wanasema tafuta hela ππππBado nikiomba nitanyimwa
IpoSikuizi mbona rahisi tu,,, wenyewe wanasema tafuta hela ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshangaa sana.
Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie.
Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake.
Kwa wanaume ni nadra kumnyima mwanamke penzi. Anapewa tu. Hatunaga roho mbaya.
Basi usiwe na wasiwasi watakupaπ
Muone target ipo kwakoπBasi usiwe na wasiwasi watakupaπ