steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Jibu zuriMjibu hivi
Mimi na mke wangu ni waathirika wa HIV kama utapenda malipo yako yawe dhidi ya mke wangu mi sina hiana! Maana waswahili husema kizuri kula na nduguyo.
Mwambie akuongezee pesaKunamtu ananidai kwa mwaka sasa sjamlipa pesa yake Sasa kanitumia haka kaujumbe naomba ushauri jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app