Hili nalo tatizo jamani

Hili nalo tatizo jamani

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Kunamtu ananidai kwa mwaka sasa sijamlipa pesa yake Sasa kanitumia haka kaujumbe naomba ushauri jamani.

FB_IMG_15833071422100188.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjibu hivi

Mimi na mke wangu ni waathirika wa HIV kama utapenda malipo yako yawe dhidi ya mke wangu mi sina hiana! Maana waswahili husema kizuri kula na nduguyo.
 
JIBU : Ndugu mwinyimvua utanisamehe kwa kuwa ndugu masawe alikuwa ananidai million 6 na ndiye anammilik mke wangu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom