Yote 9,kwan we lizzy haunaga ma sleeping? Kunakucha ivyo.
Alafu we nawe, unajua nilipo? Kwetu ndo kwanza saa saba mchana.
Okay.cc kunakucha sasa.pande za mbali ndo unakaaga du!!
We hujapenda, kalale. acha wanao penda wampe shahuri. lolhivi unawezaje kumfuatlia mtu kwa miaka miwili???????
na unazungumza kama kitu cha 'kujivunia'
si ajabu huyo mchumba wake hakuchukua hata miezi sita 'kumaliza kazi'
Stop being nosy. . . nenda kalale.
k.but nina aleg na kitanda.
si alishakwambia jamaa yake alikuwa nje anasoma! ungemuamini tangu kipindi hicho hayo yote yasingekukuta.
Ushamba wake uko wapi?
Mnafahamu mazingira yaliyosababisha amweleze?Kama msg za huyu mshkaji zilikua hazikomi?Kama alikua anapiga simu hovyo hata nyakati za usiku? Asimwambie mchumba wa ukweli kisa ni ushamba?
Kweli kazi tunayo, mtu akiwa mkweli (sikutaki,nna wangu, akimweleza mwenzake ukweli kuhusu wewe ukaonywa) TABU. Simsumbue wanaotaka huo usumbufu. . . . !
We syo "mwindaji" wa ukweli.Nasema hvo kwa kuwa watu huwa tunakuwa na "mitego" yetu "mapori " tofauti tofauti.Wewe uliamini mtego wako m1 ndo utanasa "kitoweo"? Haipo hvo mkuu.Miaka yote miwil ulipaswa kuwa na mitego mingne unaskilizia.Yan wala ungekuwa huumii moyo sa hvi kwa kuwa tayar ungekuwa na goma lako sa hv unajitafnia mambo yako na vikid vya kuku2nza uzeen.Usijali bro "bahari" ni kubwa na "samaki"ni wengi kwa hyo tandaza "nyavu" zako kwa kadri utakavoweza utapata tu.Ila angalia usije ukavua "kasa mwenye sumu".Xmas njema
kwanza fahamu siku hizi kuna simu unaweza kubadilisha sauti so inawzekana anakupimia.......ila mdau kitambo sana two years au ndio mambo yetu ya amitah bachan!! mwambie unataka uonje machine black and white hawa wenzetu tena miaka 29 mbona kiulaini.......kaka maumivu uliyonayo si mchezo kama vp nitumie hata hot-line nikupige back up......hakuniambia katika mazingira ya kuwa serious hadi kufikia hatua ya kuamini.nakama alikuwa hataki si angesema sitaki kwa kuonyesha moja kwa moja..na kwa nini alikuwa anakubari kushare naye idea zangu,future za maisha...
Ushamba wa huyo dada ni nini haswa?Huyo dada ni bonge la mshamba au niseme mjinga,angekuwa mume wake kweli angeweza kumuonesha,halafu huyo jamaa yeye huwa anamuonyesha za kwake,hawa ndio wenye kuingia mapenzini kichwakichwa.