Hili ndilo balaa la mapenzi

Hili ndilo balaa la mapenzi

hivi unawezaje kumfuatlia mtu kwa miaka miwili???????
na unazungumza kama kitu cha 'kujivunia'
si ajabu huyo mchumba wake hakuchukua hata miezi sita 'kumaliza kazi'
We hujapenda, kalale. acha wanao penda wampe shahuri. lol
 
mwenzako alishakuambia ana mtu wake toka zamani hukumsikiliza ,saiv unakuja kulialia nn hapa?
kwanza unang'ang'ania kupenda usipopendwa ,,,,move on na maisha acha ubwege.
 
Pole sana kaka kwa upofu wako. Kila alichokifanya binti mimi naona ni sahihi kabisa, wala huna la kumlaumu maana alikuambia mapema kuwa tayari ana mtu. Wewe ulikuwa unataka awe anakukatalia kwa kukutukana ili muwe maadui? Alikuwa anakusaidia wewe mwenyewe na kibuti si uadui, kizuri umesema vitu vyako alikuwa anakataa, ila mlikuwa mnashare mawazo ya future, kwani nini maana ya kaka na dada? Mtu mkishare idear za maisha na future lazima awe mchumba wako? Kaka ulikuwa unatafsiri vibaya maana ya urafiki wenu. Nampa bigup sana huyo dada maana kakupa za uso kistaarabu sana, alikuambia ukawa mbishi sasa kakuhakikishia, yeye ulikuwa humwamini ndio maana kaamua uambiwe na mchumba wake ili angalau upate uhakika. Wa kujilaumu ni wewe na upofu wa hisia zako. Jitose kwingine na Mungu atakusaidia. Kama vipi mwambie huyo dada nampa bigup na kumgongea thanks, kwa hilo nimemfananisha na wangu maana kisa kama chako kimewahi kumtokea na huyo rafiki yake akaja kuamini baada ya mimi kumvalisha pete. Kizuri mchumba wangu alikuwa ananiambia kuhusu huyo rafiki yake na baada ya kumvalisha pete aliamua hata kutopenda kuwacliana naye tena! Wanaume jifunzeni kuwa wasichana wengine wakisema HAPANA wanamaanisha HAPANA.
 
si alishakwambia jamaa yake alikuwa nje anasoma! ungemuamini tangu kipindi hicho hayo yote yasingekukuta.

Sana tu Hus, mi naona amejitakia mwenyewe huyu jamaa. And am getting a picture kuwa he was not in love rather he was obsessed.
 
We syo "mwindaji" wa ukweli.Nasema hvo kwa kuwa watu huwa tunakuwa na "mitego" yetu "mapori " tofauti tofauti.Wewe uliamini mtego wako m1 ndo utanasa "kitoweo"? Haipo hvo mkuu.Miaka yote miwil ulipaswa kuwa na mitego mingne unaskilizia.Yan wala ungekuwa huumii moyo sa hvi kwa kuwa tayar ungekuwa na goma lako sa hv unajitafnia mambo yako na vikid vya kuku2nza uzeen.Usijali bro "bahari" ni kubwa na "samaki"ni wengi kwa hyo tandaza "nyavu" zako kwa kadri utakavoweza utapata tu.Ila angalia usije ukavua "kasa mwenye sumu".Xmas njema
 
Mdada sio kumponda huyu kaka, upofu wake ni kwa ajili ya mapenzi ya dhati aliyokuwa nayo kwa huyo dada, cha msingi hapa ni kumpa ushauri jinsi ya kukubali hali halisi na kusahau na sio kumwambia anachekesha, cha kuchekesha kiko wapi hapa!!?
 
Ushamba wake uko wapi?
Mnafahamu mazingira yaliyosababisha amweleze?Kama msg za huyu mshkaji zilikua hazikomi?Kama alikua anapiga simu hovyo hata nyakati za usiku? Asimwambie mchumba wa ukweli kisa ni ushamba?

Kweli kazi tunayo, mtu akiwa mkweli (sikutaki,nna wangu, akimweleza mwenzake ukweli kuhusu wewe ukaonywa) TABU. Simsumbue wanaotaka huo usumbufu. . . . !

Yeah ni kweli mimi, wewe na yule hamna mtu anayefahamu situation hii in deep nadhani, pia vile vile labda kama ulivyosema kwamba jamaa alikuwa anamsumbua sana huyo msichana upo right!
 
We syo "mwindaji" wa ukweli.Nasema hvo kwa kuwa watu huwa tunakuwa na "mitego" yetu "mapori " tofauti tofauti.Wewe uliamini mtego wako m1 ndo utanasa "kitoweo"? Haipo hvo mkuu.Miaka yote miwil ulipaswa kuwa na mitego mingne unaskilizia.Yan wala ungekuwa huumii moyo sa hvi kwa kuwa tayar ungekuwa na goma lako sa hv unajitafnia mambo yako na vikid vya kuku2nza uzeen.Usijali bro "bahari" ni kubwa na "samaki"ni wengi kwa hyo tandaza "nyavu" zako kwa kadri utakavoweza utapata tu.Ila angalia usije ukavua "kasa mwenye sumu".Xmas njema

Ndio maana hapo juu nikasema jamaa ndio kwanza ameingia kwenye hizi anga maana alishalala hapo hapo na kutegemea atapata kila kitu hapo kumbe haiwi hivyo kabisa...Haiwi hivyo lazima utumie akili na kama hivyo mambo yamekuwa hovyo angekula mzigo sehemu nyingine!
 
hakuniambia katika mazingira ya kuwa serious hadi kufikia hatua ya kuamini.nakama alikuwa hataki si angesema sitaki kwa kuonyesha moja kwa moja..na kwa nini alikuwa anakubari kushare naye idea zangu,future za maisha...
kwanza fahamu siku hizi kuna simu unaweza kubadilisha sauti so inawzekana anakupimia.......ila mdau kitambo sana two years au ndio mambo yetu ya amitah bachan!! mwambie unataka uonje machine black and white hawa wenzetu tena miaka 29 mbona kiulaini.......kaka maumivu uliyonayo si mchezo kama vp nitumie hata hot-line nikupige back up......

kaka hz za basha yuko ulaya madoido ili mtu upande dau..........punduza uoga kaza au sweta mikono mirefu nn?
 
Huyo dada ni bonge la mshamba au niseme mjinga,angekuwa mume wake kweli angeweza kumuonesha,halafu huyo jamaa yeye huwa anamuonyesha za kwake,hawa ndio wenye kuingia mapenzini kichwakichwa.
 
hivi wanaume tukoje?kwa nini tunataka kuwaharibia dada zetu?huyo dada ni mfano wa kuigwa,anajua nini anafanya ktika dunia hii!!mwache binti wa watu
 
Huyo dada ni bonge la mshamba au niseme mjinga,angekuwa mume wake kweli angeweza kumuonesha,halafu huyo jamaa yeye huwa anamuonyesha za kwake,hawa ndio wenye kuingia mapenzini kichwakichwa.
Ushamba wa huyo dada ni nini haswa?
Kua straight? Kweli waliozoea kula kizani utawajua tu!!!
 
We unamtongoza mwanamke miaka miwili,miez mitatu inatosha kumaliza game na kusepa kama network inagoma.pole mkuu nauakika jamaa alipokupiga mkwara ulikuwa mdogo kama mchanga.jipange upya wanawake wapo weng tena loose ball kibao, hata mkesha wa chrtmas mkoan kwe2 watoto wakiume wamezaliwa 13 na wakike wamezaliwa 38.
 
pole sana, dada alikuwa sawa, kwani alikwisha kwambia kwamba ana mtu lakini wewe ukawa unaajitesa kwa zawadi na kumfuatilia.

Soma vitabu na kwenda matembezi ili upoteze mawazo kaka kamwe usilale ndani utamuwaza tu, kuwa bize zaidi kwa kusoma, kutembea
 
Back
Top Bottom