Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Bado hujajibu swali, je ana qualify kupata mabikra?What a moment, legend ameacha Iran imara kwa kipindi cha uongozi wake zaidi ya miaka 30 now ni supa pawa nation. Wewe yana kuhusu nini mazishi yake na mgao wake warembo
Waislam hutumia jeneza kuusogeza tu mwili, uliovikwa sanda. kaburini! ... nuislam hazikwi ndani ya jeneza bali hutolewa jenezani na kuzikwa hali mwili wake umefunikwa na sanda tu !Waislam Hawatumii Jeneza Wanapozika
Kwanini mnaweka haya mambo kidini? Lebanon ambayo Iran inasupport ina wakristo zaidi ya 35%. Cha ajabu kila anayeunga mkono Iran basi anaonekana muislam. Hivi ni vita ya kisiasa na ndio maana hata hao Saudi au UAE wanapigana na Iran licha ya wote kuwa waislam. Hata hao Israel wamelipua mpaka synagogue ya wayahudi hapo Tehran na makanisa kibao tu Lebanon maana wao wanavuruga tu amani hawajali cha dini ya mtu cha kuchekesha nyie washabiki wao ndio mnaweka mambo kidini.Bado hujajibu swali, je ana qualify kupata mabikra?
AiseeKati hawa Mabikira 72 Bikira Maria hakosi ni wa muhimu sana😅
Gaidi ni Israel, imagine Iran ingeua Rais wa nchi yoyote ile ungeona kama isingevamiwa na UN kabisa.GAidi limekufa
Umemsahau THE BIG SHOW.Iran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu.
Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya tomahawk kutoka kwenye ndege za kivita za marekani na Israel.
Khamenei Aliuwawa pamoja na viongozi wenzake na familia yake.
Kutokana na Imani yake inaaminika kuwa amekufa shahidi, wadau mbalimbali wanauliza je kuchelewa Kuzikwa kwa muda wote huo bado ana qualify kwenda peponi na kupata hao mabikra 72??
zitto junior
Adiosamigo
mdogoee
Khaibar
Ritz
Echolima1
The Mongolian Savage
100 others
Mlaleo
Tanganian
Imeloa
dem boyz
6 Pack
gTurn
Mwalimu wa tuisheni
hip hop uchwara
fuentte
View attachment 3619292
Wewe ndio umeleta masuala ya mabishano ya dini, Mimi nachouliza kinahusu Imani ya ayatollah na kifo chake. Ubaya upo wapi?Kwanini mnaweka haya mambo kidini? Lebanon ambayo Iran inasupport ina wakristo zaidi ya 35%. Cha ajabu kila anayeunga mkono Iran basi anaonekana muislam. Hivi ni vita ya kisiasa na ndio maana hata hao Saudi au UAE wanapigana na Iran licha ya wote kuwa waislam. Hata hao Israel wamelipua mpaka synagogue ya wayahudi hapo Tehran na makanisa kibao tu Lebanon maana wao wanavuruga tu amani hawajali cha dini ya mtu cha kuchekesha nyie washabiki wao ndio mnaweka mambo kidini.
Swali langu je bado ana qualify kupata mabikra? Hujajibu hiliKati hawa Mabikira 72 Bikira Maria hakosi ni wa muhimu sana😅
Hivi vita kuchukua sura ya kidini ni jambo ambalo kwa njia yeyote ile haliwezi kuepukika kwa sababu hakuna jihadist anayeweza kuiunga mkono Marekani wakati wanaamini ni mpinga jihad mkubwa.Kwanini mnaweka haya mambo kidini? Lebanon ambayo Iran inasupport ina wakristo zaidi ya 35%. Cha ajabu kila anayeunga mkono Iran basi anaonekana muislam. Hivi ni vita ya kisiasa na ndio maana hata hao Saudi au UAE wanapigana na Iran licha ya wote kuwa waislam. Hata hao Israel wamelipua mpaka synagogue ya wayahudi hapo Tehran na makanisa kibao tu Lebanon maana wao wanavuruga tu amani hawajali cha dini ya mtu cha kuchekesha nyie washabiki wao ndio mnaweka mambo kidini.
Na umri ule aliokufa nao sahihi kabisa kuacha legacy kubwaWhat a moment, legend ameacha Iran imara kwa kipindi cha uongozi wake zaidi ya miaka 30 now ni supa pawa nation. Wewe yana kuhusu nini mazishi yake na mgao wake warembo