Hili ndilo jeneza la Ayatollah Ali Khamenei ambaye Aliuawa kwa kushindiliwa mabomu huko Tehran Iran

Dying at 86 while defending your nation is quite fair, I think. 🤔
He went down like a man.
Huyu kwenye uongozi alishajitoa muda sana alibaki kuwa shehe mkuu tu hata zile kelele kabla ya kushindiliwa mabomu zilikua hazina maana yoyote
 
Wacha weeee. Mambo ya waja wa allah hayo.
 
Iran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu.

Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya tomahawk kutoka kwenye ndege za kivita za marekani na Israel.

Khamenei Aliuwawa pamoja na viongozi wenzake na familia yake.

Kutokana na Imani yake inaaminika kuwa amekufa shahidi, wadau mbalimbali wanauliza je kuchelewa Kuzikwa kwa muda wote huo bado ana qualify kwenda peponi na kupata hao mabikra 72??

zitto junior
Adiosamigo
mdogoee
Khaibar
Ritz
Echolima1
The Mongolian Savage
100 others
Mlaleo
Tanganian
Imeloa
dem boyz
6 Pack
gTurn
Mwalimu wa tuisheni
hip hop uchwara
fuentte

View attachment 3619292
Laiti lingekuwa la njaa. kaya au samuya
 
Ndugu zangu Waislamu,
Naomba niwakumbushe.

Allah amekutahadhirisheni msitukane miungu ya wengine ikasababisha wao kumtukana mungu wa kweli.

Halikadhalika Allah ameonya kuwa pale mtu atakapokuwa anamkejeli yeye basi wewe ondoka mahali hapo.

Nimeona mfungua uzi huu kaja na lugha za kukejeli Uislamu.

Ukiukejeli Uislam ndiyo umemkejeli Allah.

Itapendeza sana ndugu zangu kama mtazingatia mafunzo haya.

Tujiepushe na mizozo isiyokuwa na maana.

Hakuna tija katika kutukaniana imani zetu.
 
Kwanini mnaweka haya mambo kidini? Lebanon ambayo Iran inasupport ina wakristo zaidi ya 35%. Cha ajabu kila anayeunga mkono Iran basi anaonekana muislam. Hivi ni vita ya kisiasa na ndio maana hata hao Saudi au UAE wanapigana na Iran licha ya wote kuwa waislam. Hata hao Israel wamelipua mpaka synagogue ya wayahudi hapo Tehran na makanisa kibao tu Lebanon maana wao wanavuruga tu amani hawajali cha dini ya mtu cha kuchekesha nyie washabiki wao ndio mnaweka mambo kidini.
Pamoja na kuandika ukweli walokole kukuelewa ni ngumu sana
 
Hivi vita kuchukua sura ya kidini ni jambo ambalo kwa njia yeyote ile haliwezi kuepukika kwa sababu hakuna jihadist anayeweza kuiunga mkono Marekani wakati wanaamini ni mpinga jihad mkubwa.

Hivyo hivyo kwa wakristo nao hawawezi kuacha kuiunga mkono Marekani na Israel ambayo kwa mujibu wa biblia ni taifa teule la Mungu.
Acha kupotosha kibiblia taifa teule ni wale waliomfuata Yesu hayo ya Israel ni agano la kale huko, biblia hamjui kazi kupotosha tu.

1 Petro 2:9
[9]Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;

Yesu mwenyewe alisema
Yohana 4:21
[21]Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.
Na ukisoma hata nchi ya ahadi alipewa Abraham ambaye alikua na watoto wengi tu sio Isaka pekee sijui kwanini mnaimilikisha Israel.

Mwanzo 17:8
[8]Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.

Na pia kuhusu warithi wa baraka zake kiroho ni waaminio wote. Sasa huo uteule wa Israel unaingia wapi hapo?
Wagalatia 3:29
[29]Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
 
Iran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu.

Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya tomahawk kutoka kwenye ndege za kivita za marekani na Israel.

Khamenei Aliuwawa pamoja na viongozi wenzake na familia yake.

Kutokana na Imani yake inaaminika kuwa amekufa shahidi, wadau mbalimbali wanauliza je kuchelewa Kuzikwa kwa muda wote huo bado ana qualify kwenda peponi na kupata hao mabikra 72??

zitto junior
Adiosamigo
mdogoee
Khaibar
Ritz
Echolima1
The Mongolian Savage
100 others
Mlaleo
Tanganian
Imeloa
dem boyz
6 Pack
gTurn
Mwalimu wa tuisheni
hip hop uchwara
fuentte

View attachment 3619292
Dah!Mayahudi na USA yameua mpaka kipenzi chetu Ayatollah! Huzuni sana!
 
Hivi vita kuchukua sura ya kidini ni jambo ambalo kwa njia yeyote ile haliwezi kuepukika kwa sababu hakuna jihadist anayeweza kuiunga mkono Marekani wakati wanaamini ni mpinga jihad mkubwa.
Mbona Saudi Arabia, Jordan na UAE n.k zinaunga mkono USA kumpiga iran.

Lakini pia Lebanon ina wakristo zaidi ya 35% na Rais ni mkristo pia ila je unadhani kwa wanavyouwawa kila siku watakua upande wa US/Israel au watakuwa upande wa Iran?

Sawa Israel pia waislamu kwa sasa wanakimbilia 25% yaani kila raia 4 wa israel basi 1 ni muislam na wapo jeshini pia wanahusika kuua waislam wenzao wa Gaza, Iran na Lebanon.

Ni waafrika tu ndio tunaingiza udini baada ya kudanganywa na manabii feki kuwa Israel taifa teule sijui hawaendi motoni na blah blah zingine ila wao haiwahusu uwe mkristo au myahudi wao watakuua tu kufikia azma yao kasome kuhusu Yitzak Rabin.
 
Toka amekufa mpka asaiv kashakula mabikra 20,wamebaki 52 hizi ni habari za live bila chenga toka huku peponi
 
Ndugu zangu Waislamu,
Naomba niwakumbushe.

Allah amekutahadhirisheni msitukane miungu ya wengine ikasababisha wao kumtukana mungu wa kweli.

Halikadhalika Allah ameonya kuwa pale mtu atakapokuwa anamkejeli yeye basi wewe ondoka mahali hapo.

Nimeona mfungua uzi huu kaja na lugha za kukejeli Uislamu.

Ukiukejeli Uislam ndiyo umemkejeli Allah.

Itapendeza sana ndugu zangu kama mtazingatia mafunzo haya.

Tujiepushe na mizozo isiyokuwa na maana.

Hakuna tija katika kutukaniana imani zetu.
Allah anakaa kwenye danguro la mabikra 72 na Pombe?
 
Inshallah ahsante kwa nasaha
 
Allah anakaa kwenye danguro la mabikra 72 na Pombe?
Yes haswaa na mimi najivunia danguro la pombe ya uzima na Allah atujaalie kheri tulifikie nyie nendeni bingu yenu ya kuimba simpo as that mbona pepo yetu inawahangaisha sana nyinyi makafiri?
Kila mtu Aende pepo yake tuone nani atafaidi wa kuimba na mimi wa wake,nyama na pombe
 
What a moment, legend ameacha Iran imara kwa kipindi cha uongozi wake zaidi ya miaka 30 now ni supa pawa nation. Wewe yana kuhusu nini mazishi yake na mgao wake warembo

Mito ys pombe inanihusu. Huku kwetu pomber bei mbaya..hapo anajipatia pombe na baada ya pombe mabikra 72.

Ina maana huko alikokwenda kutakuwa na vurugu nyingi sana
 
Nati zimelegezwa wewe, mbingu yenu ndio ina vurugu kelele za kwaya na magitaa sisi kila mtu na maghorofa yake na wake zake na tungi
 
Back
Top Bottom