Huyu kwenye uongozi alishajitoa muda sana alibaki kuwa shehe mkuu tu hata zile kelele kabla ya kushindiliwa mabomu zilikua hazina maana yoyoteDying at 86 while defending your nation is quite fair, I think. 🤔
He went down like a man.
Swali langu halijajibiwa hadi sasaHuyu kwenye uongozi alishajitoa muda sana alibaki kuwa shehe mkuu tu hata zile kelele kabla ya kushindiliwa mabomu zilikua hazina maana yoyote
Wacha weeee. Mambo ya waja wa allah hayo.Huyu kwenye uongozi alishajitoa muda sana alibaki kuwa shehe mkuu tu hata zile kelele kabla ya kushindiliwa mabomu zilikua hazina maana yoyote
Laiti lingekuwa la njaa. kaya au samuyaIran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu.
Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya tomahawk kutoka kwenye ndege za kivita za marekani na Israel.
Khamenei Aliuwawa pamoja na viongozi wenzake na familia yake.
Kutokana na Imani yake inaaminika kuwa amekufa shahidi, wadau mbalimbali wanauliza je kuchelewa Kuzikwa kwa muda wote huo bado ana qualify kwenda peponi na kupata hao mabikra 72??
zitto junior
Adiosamigo
mdogoee
Khaibar
Ritz
Echolima1
The Mongolian Savage
100 others
Mlaleo
Tanganian
Imeloa
dem boyz
6 Pack
gTurn
Mwalimu wa tuisheni
hip hop uchwara
fuentte
View attachment 3619292
Ndugu zangu Waislamu,Iran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu.
Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya tomahawk kutoka kwenye ndege za kivita za marekani na Israel.
Khamenei Aliuwawa pamoja na viongozi wenzake na familia yake.
Kutokana na Imani yake inaaminika kuwa amekufa shahidi, wadau mbalimbali wanauliza je kuchelewa Kuzikwa kwa muda wote huo bado ana qualify kwenda peponi na kupata hao mabikra 72??
zitto junior
Adiosamigo
mdogoee
Khaibar
Ritz
Echolima1
The Mongolian Savage
100 others
Mlaleo
Tanganian
Imeloa
dem boyz
6 Pack
gTurn
Mwalimu wa tuisheni
hip hop uchwara
fuentte
View attachment 3619292
Pamoja na kuandika ukweli walokole kukuelewa ni ngumu sanaKwanini mnaweka haya mambo kidini? Lebanon ambayo Iran inasupport ina wakristo zaidi ya 35%. Cha ajabu kila anayeunga mkono Iran basi anaonekana muislam. Hivi ni vita ya kisiasa na ndio maana hata hao Saudi au UAE wanapigana na Iran licha ya wote kuwa waislam. Hata hao Israel wamelipua mpaka synagogue ya wayahudi hapo Tehran na makanisa kibao tu Lebanon maana wao wanavuruga tu amani hawajali cha dini ya mtu cha kuchekesha nyie washabiki wao ndio mnaweka mambo kidini.
Wakiristo wengi wa jf hizi ndio comments zao, wanawataka mabikra lkn wapo upande wa kupata motoBado hujajibu swali, je ana qualify kupata mabikra?
Acha kupotosha kibiblia taifa teule ni wale waliomfuata Yesu hayo ya Israel ni agano la kale huko, biblia hamjui kazi kupotosha tu.Hivi vita kuchukua sura ya kidini ni jambo ambalo kwa njia yeyote ile haliwezi kuepukika kwa sababu hakuna jihadist anayeweza kuiunga mkono Marekani wakati wanaamini ni mpinga jihad mkubwa.
Hivyo hivyo kwa wakristo nao hawawezi kuacha kuiunga mkono Marekani na Israel ambayo kwa mujibu wa biblia ni taifa teule la Mungu.
Dah!Mayahudi na USA yameua mpaka kipenzi chetu Ayatollah! Huzuni sana!Iran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu.
Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya tomahawk kutoka kwenye ndege za kivita za marekani na Israel.
Khamenei Aliuwawa pamoja na viongozi wenzake na familia yake.
Kutokana na Imani yake inaaminika kuwa amekufa shahidi, wadau mbalimbali wanauliza je kuchelewa Kuzikwa kwa muda wote huo bado ana qualify kwenda peponi na kupata hao mabikra 72??
zitto junior
Adiosamigo
mdogoee
Khaibar
Ritz
Echolima1
The Mongolian Savage
100 others
Mlaleo
Tanganian
Imeloa
dem boyz
6 Pack
gTurn
Mwalimu wa tuisheni
hip hop uchwara
fuentte
View attachment 3619292
Mwili waliondoka nao wayahudi.hayo ni maadhimisho tuHivi mwili upo? ni wamekusanya mabaki au wameandaa siku iwe kama siku ya kumpumzisha?
Mbona Saudi Arabia, Jordan na UAE n.k zinaunga mkono USA kumpiga iran.Hivi vita kuchukua sura ya kidini ni jambo ambalo kwa njia yeyote ile haliwezi kuepukika kwa sababu hakuna jihadist anayeweza kuiunga mkono Marekani wakati wanaamini ni mpinga jihad mkubwa.
Allah anakaa kwenye danguro la mabikra 72 na Pombe?Ndugu zangu Waislamu,
Naomba niwakumbushe.
Allah amekutahadhirisheni msitukane miungu ya wengine ikasababisha wao kumtukana mungu wa kweli.
Halikadhalika Allah ameonya kuwa pale mtu atakapokuwa anamkejeli yeye basi wewe ondoka mahali hapo.
Nimeona mfungua uzi huu kaja na lugha za kukejeli Uislamu.
Ukiukejeli Uislam ndiyo umemkejeli Allah.
Itapendeza sana ndugu zangu kama mtazingatia mafunzo haya.
Tujiepushe na mizozo isiyokuwa na maana.
Hakuna tija katika kutukaniana imani zetu.
Inshallah ahsante kwa nasahaNdugu zangu Waislamu,
Naomba niwakumbushe.
Allah amekutahadhirisheni msitukane miungu ya wengine ikasababisha wao kumtukana mungu wa kweli.
Halikadhalika Allah ameonya kuwa pale mtu atakapokuwa anamkejeli yeye basi wewe ondoka mahali hapo.
Nimeona mfungua uzi huu kaja na lugha za kukejeli Uislamu.
Ukiukejeli Uislam ndiyo umemkejeli Allah.
Itapendeza sana ndugu zangu kama mtazingatia mafunzo haya.
Tujiepushe na mizozo isiyokuwa na maana.
Hakuna tija katika kutukaniana imani zetu.
Waislam waafrikaWaislam Hawatumii Jeneza Wanapozika
Yes haswaa na mimi najivunia danguro la pombe ya uzima na Allah atujaalie kheri tulifikie nyie nendeni bingu yenu ya kuimba simpo as that mbona pepo yetu inawahangaisha sana nyinyi makafiri?Allah anakaa kwenye danguro la mabikra 72 na Pombe?
What a moment, legend ameacha Iran imara kwa kipindi cha uongozi wake zaidi ya miaka 30 now ni supa pawa nation. Wewe yana kuhusu nini mazishi yake na mgao wake warembo
Nati zimelegezwa wewe, mbingu yenu ndio ina vurugu kelele za kwaya na magitaa sisi kila mtu na maghorofa yake na wake zake na tungiMito ys pombe inanihusu. Huku kwetu pomber bei mbaya..hapo anajipatia pombe na baada ya pombe mabikra 72.
Ina maana huko alikokwenda kutakuwa na vurugu nyingi sana