Hili ndilo jeneza la Ayatollah Ali Khamenei ambaye Aliuawa kwa kushindiliwa mabomu huko Tehran Iran

tatizo wale waliokuja kushika nafasi yake wana msimamo mkali kuliko yeye. Haina tofauti na wale watumwa waliomuaa jogoo wa bwana wao, matokeo yake wakawa wanaamshwa mapema zaidi usiku wa manane.
 
Nati zimelegezwa wewe, mbingu yenu ndio ina vurugu kelele za kwaya na magitaa sisi kila mtu na maghorofa yake na wake zake na tungi

Kama kuna mito ya pombe...ngono kama zote... tena hakuna mtu mfupi kuingia huko maana ataharibu starehe za watu......mimi ni nani wa kuanza kupinga? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kejeli Iko wapi hapo? Kupitia Imani yake tulielezea kuwa kafa shahidi, ndio nauliza anaenda peponi na kupata mabikra?? Hapo kejeli ipo wapi wakati nimekuuliza swali
 
Wakiristo wengi wa jf hizi ndio comments zao, wanawataka mabikra lkn wapo upande wa kupata moto
Bado hakuna aliyejibu swali. Swali linauliza je bado anaqualify kupata mabikra?
 
Hivi mwili upo? ni wamekusanya mabaki au wameandaa siku iwe kama siku ya kumpumzisha?
Vipande vipande vya nyama TU🤣

Mzee alikua na mikwara huyo unaweza hisi ligi alikua anaiweza kweli kumbe halijojo
 
Kitendo cha Israel kutoa taarifa mapema kuwa wamemuua ni pigo tosha kwa Iran
 
Mwili waliondoka nao wayahudi.hayo ni maadhimisho tu
Hivi,kifo cha kipenzi chetu Ayatollah ni tofauti na vya kwetu sisi wa imani moja na yeye? Mbona sisi huwa tunawazika marehemu wetu haraka sana?Yeye, Ayatollah amehifadhiwa miezi mingi hivyo kwa nini?
 
Kunywa pombe ni kufaidi? Sasa kwa n msoanze kunywa ssa hivi huku duniani?

Hivi kweli wakuu mnaamini mtapata mabikra 72???
 
tatizo wale waliokuja kushika nafasi yake wana msimamo mkali kuliko yeye. Haina tofauti na wale watumwa waliomuaa jogoo wa bwana wao, matokeo yake wakawa wanaamshwa mapema zaidi usiku wa manane.
Hao walioshika nafasi ndio waoga kuliko hata neno lenyewe uoga. Ayatollah mpya anaishi shimoni Hadi Leo hata viongozi wenzake hapo Iran hawajamuona, hawajui hata anafananaje🤣🤣

Msiba huu wa baba yake pia hatoonekana, eti kisa sababu za kiusalama. Huu uoga aliomao sio wa kawaida
 
Kitendo cha Israel kutoa taarifa mapema kuwa wamemuua ni pigo tosha kwa Iran
Siku zote Israel ndio wanaanza kutoa taarifa kuwa wafhamtanguliza mtu jehanamu, alafu Iran huwa wanaanza na kukanusha, baadae ndio nao wanakubaki na kutoa taarifa🤣

Netanyahu hachekeshi
 
Dini ni factor kubwa sana kwenye hii vita, sababu ideology ya Iran ambayo inasababisha awe confrontational na Israel pamoja na Marekani, Ina dini ndani yake

Iran anapata sapoti kwa wafuasi wake wa ndani na nje sababu ya dini.

Iran haiinungi mkono Lebanon inaunga mkono Hezbollah ambayo viongozi wake na wafuasi ni Waislam wa Shia, sio Wakristo, na serikali ya Lebanon imesema haitaki Iran kiingilia mambo yake, hata ikamfukuza balozi wa Iran
 
Bila dini Iran isingekuwa na itikadi ya kupata sapoti Lebanon,
 
Unavuta bange? Uliyereply kwake alichoandika alikua ananijibu Mimi, ndio maana na Mimi nikakujibu wewe.
Wala wewe sijaona ulichoandika , nime jibu ujumbe wake kwa walokole moja kwa moja , wewe ni kiherehere chako tu🚮
 
Wala wewe sijaona ulichoandika , nime jibu ujumbe wake kwa walokole moja kwa moja , wewe ni kiherehere chako tu🚮
Unajibu bila kujua alikua anaongea na nani? Mimi ndio nilikua najibiwa, wewe ndio una kiherehere sababu hujui Convo ilikua inamhusu nani. Wewe ni ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…