Hili ndilo jeneza la Ayatollah Ali Khamenei ambaye Aliuawa kwa kushindiliwa mabomu huko Tehran Iran

Unajibu bila kujua alikua anaongea na nani? Mimi ndio nilikua najibiwa, wewe ndio una kiherehere sababu hujui Convo ilikua inamhusu nani. Wewe ni ng'ombe
Nikijibu kitu humu sio lazima nikujibu wewe , hili ni jukwaa huru na kwanza ndio leo naona I'd yako acha shobo
 
Nikijibu kitu humu sio lazima nikujibu wewe , hili ni jukwaa huru na kwanza ndio leo naona I'd yako acha shobo
Hapo mwenye shobo nani? Wewe umerukia Convo isiyokuhusu. Mimi mwenyewe ndio kwanza Leo naona pia id yako
 
Hapo mwenye shobo nani? Wewe umerukia Convo isiyokuhusu. Mimi mwenyewe ndio kwanza Leo naona pia id yako
Kwa hyo ulitaka nisichangie nilicho changia kisa alikujibu wewe? Hivi unajisikiliza kweli wewe?
 
Taifa teule la Mungu au taifa teule la mnaofirana na kusagana
 
Acha kudanganya watu iran anatoa sapoti kwaajili ya ubinaadam na kafanya hivyo sehemu mbali mbali tuuuu sio lebanon wala ghaza wala Cuba wala Venezuela
Iran labda awe na mambo yake chini huko kayaficha ila haya ya juu huku hayana udini
Kwani lebanon wanaokufa hizbullah tu sababu washia
 
Siku kama ukiwa na akili timamu utajua kutofautisha kati ya kuwepo na kuungwa mkono
Bongo mpaka majambazi wapo wanaungwa mkono kisheria ndio swali
Iran Wana ayatollah mpya ambae ni gay, vipi hilo?
 
Kweli, anasaidia wengi, ila kwenye hii ya Lebanon na Gaza ambayo ndio imeleta hii vita, dini ni kiungo kubwa....
 
Kunywa pombe ni kufaidi? Sasa kwa n msoanze kunywa ssa hivi huku duniani?

Hivi kweli wakuu mnaamini mtapata mabikra 72???
Niambie wewe pepo yako utafaidi nini? Halafu mbona mnasema mabkra tu na pombe kuna mengi mno peponi kila siku ni tafrija sasa nilikinywa pombe duniani nitamuabudu vipi Mungu maana pombe za dunia na Marangi ni aki na ukwa sasa zile verse za Quran unasoma vipi ukiwa nyingi bila kuvuruga? Usitupangie mbinguni pombe na watoto wakali hakuna mbu wala nzi hakuna Ukimwi
 
Kwa hiyo peponi ni sehemu ya kutumia pombe ila duniani hapana? Na nyie mnakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…