BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana, wengine walijaribu kubip suala la ushoga wakagonga mwamba.. hongereni sana wana-QATAR, hakika mmewaweza hawa wapumbavu, ni jambo jema kwakweli..
So, na katika timu zilizoingia in the semi finals basi hii ni bora kwangu, haswaa nikiulizwa timu zipi unazikubali na umefurahia kutinga semi finals basi bila kupepesa nitajibu ARGENTINA AND MOROCCO.
In the world ARGENTINA 🇦🇷
In Africa MOROCCO 🇲🇦
Ikibeba MOROCCO 🇲🇦 ni sawa tuu, ama Albiceleste ni sawa tuu, japo nitafurahia zaidi kwa chama langu la kitambo likitwaa kombe, ARGENTINA 🇦🇷 Wanaume wa shoka ndani ya America ya kusini, wale wapaka blichi wajifunze kutoka kwa waargentina wenye mpira wao.
GOD BLESS MOROCCANS AND ARGENTINIAN PEOPLES, wale wanaohamasisha ushoga wanisamehe!
Kila la heri ARGENTINA 🇦🇷 and MOROCCO 🇲🇦
Franklin1902
N.k