Hili ndilo Kombe la Dunia bora kwangu kuanzia mwaka 1998 mpaka 2022

Hili ndilo Kombe la Dunia bora kwangu kuanzia mwaka 1998 mpaka 2022

Yaani unataka kulinganisha ma legend kama Ronaldo de Lima, Zinedine zidane, Lilian Thuram,wakina Davor suker! Aise 1998 was the best
Huyu jamaa anazungumzia ubora wa mambo ya nje ya uwanja ila kama ni ubora wa shindano lenyewe ndani ya uwanja bac bila kupepesa macho world cup ya 1998 ilikua ya moto sana. Mastaa wengi walishiriki ile michuano na mbungi lilikua kali sana.
 
Back
Top Bottom