Naifananisha west ham ya sasa na ccm ya sasa! Kilichotokea west ham kinaweza kuitokea ccm ya sasa! Kosa lao kubwa walishindwa kufanya maamuzi magumu pale ambapo walitakiwa kufanya hayo maamuzi,waliposhtuka it was too late!! Mara tu baada ya raundi ya kwanza kuisha ilibidi wamtimue Avram Grant kwani alishaonesha uwezo mdogo sana,lakini wenyewe wakamng'ang'ania kwa sababu ambayo hadi leo siielewi!Newcastle wakati wanamtimua kocha wao walikuwa wanafanya vizuri tu lakini waliweza kuona kwamba uzoefu mdogo wa kocha wao ungewapeleka pabaya,the same ilitokea kwa liverpool and blackburn! Nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa west ham,jinsi gani kufanya uamuzi mgumu inavyoweza kukuepusha na majanga mbalimbali! Hata walipomfuata o'neal aliwakatalia kwani alijua wamechelewa sana kuact and nothing he could do! West ham walikuwa na kikosi kizuri sana tatizo lilikuwa ni kocha,waonaje mwanajamii??