Hili Ndilo Kosa Moja Unalofanya Kila Siku kwenye Maisha yako…

Usifikirie kuhusu Lifestyle flani ya kwenda kukaa kwenye Restaurant flani huku pembeni una MacBook yako na Kikombe cha Kahawa…
.
Usifikirie kuhusu Iphone 14 Pro utakayopata baada ya Kupiga Dollar 1700 kwenye Forex…

[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kubwa....
Umenikumbusha wayback 2019 wakati naanza kuijua forex hii mentality ndio ilikua kichwani mwangu japo mm fantasy yangu haikuwa kwenye iPhones fantasy yangu ilikuwa ni cars

Hii mentality ilinipa msoto wa umaskini for 4 years japo baadae niligundua sipo peke yangu coz vijana wengi wanaotrade forex hii kitu ndio inawakill daily

Anyway all is well sikupoteza muda i'm glad for the experience i acquired on the game right now sio rahisi mtu kunidanganya chochote kuhusu forex

Kama bado unatrade forex tuna kikao pm
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Pole Sana Kaka Jack... Sema Tunajifunza Kupitia MAKOSA Yetu.

Tuishi Kaka...[emoji1535]
 
Back
Top Bottom