Hivyo sadaka wanazotoa waumini wa Mungu ni ubatili..?Kuishi kwa furaha hakuna athari chanya wala hasi kwa Mungu bali kwako wewe au binadamu yeyote.
Mungu hafaidiki na chochote kutoka kwako
Hivyo sadaka wanazotoa waumini wa Mungu ni ubatili..?
Mkuu kweli wapo. ila wapo huko shule za msingi na kindergaten bado hawajafikia hatua ya kuolewa..Wanawake bikra wapo mkuu, tena wengi tuu.
kuoa mwanamke asiye bikra ni kuupa nguvu uzinzi.
Mkuu kweli wapo. ila wapo huko shule za msingi na kindergaten bado hawajafikia hatua ya kuolewa..
Huko kidato cha sita ratio labda ni 5 kwa 50Hata kidato cha sita wapo mkuu. naongea kwa uzoefu mkuu.
Wanaume ndio wanaiharibu dunia kwa uzinzi kwani wanawake hufuata kile wanaume wakipendacho. Zamani wanaume walipenda wanawake weupe na visura basi wanawake wakajitutumua na mafuta ya kujichubua ili kuendana na soko.
kwa sasa Chura ndio habari ya mjini, usishangae kuona wanawake wakijitutumua na kuhakikisha chura wanambinua hata kama hana.
Wanaume wakisema kuwa bila bikra wanawake hatuwaoi huwezi ona binti yeyote akitoa Papuchi yake kirahisi labda abakwe.
Kufa ni kufa tu, hizo zingine ni porojowe will not end up all Mkuu, roho ivunjayo hayo ndio hupotea mkuu
Ndo wachache saana, kiasi kwamba haiwezekani kwa kila mwanaume kupata bikra wa kumuoa kulingana na ulivyosema kule juuIla si wapo