Hili ndilo Lengo la Maisha

Hili ndilo Lengo la Maisha

Kuishi kwa furaha hakuna athari chanya wala hasi kwa Mungu bali kwako wewe au binadamu yeyote.
Mungu hafaidiki na chochote kutoka kwako
Hivyo sadaka wanazotoa waumini wa Mungu ni ubatili..?
 
Hivyo sadaka wanazotoa waumini wa Mungu ni ubatili..?

Si Batili mkuu, wanatoa kwa kupata huduma kwa watumishi wa Mungu. Mchungaji hulia madhabahuni, Sijajua kwa shekhe. Pia Sadaka hutumika kwa maendeleo ya Kanisa na miradi yake ikiwa ni pamoja na Majengo, Samani, Umeme, Kujenga huduma za kijamii kama Shule, zahanati, Hospitali n.k.

Usifikiri kama mtu asiye na akili mkuu. Ikiwa ukienda hospitali unatoa fedha za dawa, Shuleni au chuoni unatoa ada, Kwenye mabasi unatoa nauli, iweje ujiulize habari za sadaka? Hiyo roho jitahidi uiondoe Mkuu.
 
Mkuu kweli wapo. ila wapo huko shule za msingi na kindergaten bado hawajafikia hatua ya kuolewa..

Hata kidato cha sita wapo mkuu. naongea kwa uzoefu mkuu.
Wanaume ndio wanaiharibu dunia kwa uzinzi kwani wanawake hufuata kile wanaume wakipendacho. Zamani wanaume walipenda wanawake weupe na visura basi wanawake wakajitutumua na mafuta ya kujichubua ili kuendana na soko.

kwa sasa Chura ndio habari ya mjini, usishangae kuona wanawake wakijitutumua na kuhakikisha chura wanambinua hata kama hana.

Wanaume wakisema kuwa bila bikra wanawake hatuwaoi huwezi ona binti yeyote akitoa Papuchi yake kirahisi labda abakwe.
 
Huko kidato cha sita ratio labda ni 5 kwa 50
 
Kufa ni kufa tu, hizo zingine ni porojo

we ni Mkulima mkuu? I mean uliwahi kuwa mkulima?
Ikiwa ni ndio unafikiri ni kwa nini mbegu nyingine huota na nyingne hazioti zipandwapo udongoni
 
Back
Top Bottom