Elections 2010 Hili Ndilo Neno La Mama Salma

Cheki ulivyo na tatizo la kumbukumbu.Si Mugabe ni Mbuyuni.hahaha.:becky:
Chui_ni_Chui

Wewe ndio zuzu kabisa hata hujui kuwa mama yako alifundisha Mugabe halafu ndio akahamia Mbuyuni baada ya kustukiwa mambo flani na Babu Seya...
 
Narudia tena swali.Vijana wangapi wamefika chuo kikuu kutoka shule hizo hizo mnazozipinga kwa sababu zenu???

Mimi bado na doubt uwezo wa huyu jamaa wa ku integrate mambo! JK kaingia madarakani mwaka 2005 na mapango wake na EL wa kuanzisha hivi vituo vya kutilia mimba mabinti na kambi za kudumaza akili za watoto ( wenyewe mnaita SHULE ZA KATA) ulianza mwaka 2006, sasa kwa hesabu rahisi tu bwana ua bibi TandaleOne , kutoka kidato cha kwanza hadi mwaka wa kwanza chuo kikuu inamtaka mwanafunzi kutumia miaka 6, so kama wanafunzi walianza form one katika hizo shule zako mwaka 2006, form four walimaliza 2009, mwaka huu 2010 zao la kwanza la shule za kata ndio wako kidato cha tano (KAMA WAPO!!!),so hii maana yake ni kuwa HAKUNA MWANAFUNZI TOKA SHULE YA KATA ILIYOANZISHWA NA UTAWALA WA JK ALIYOKO CHUO KIKUU!
 
Tandaleebu fuatilia ufaulu wa hao watu kitaifa,alafu tumia mda wa kutosha website ya wizara ya Elimu na ile ya NECTA ukipata majibu utuletee apa JF.
Najua ukiyaska mwenyewe majibu tutaelewana zaidi
 

Hivi huyu mama mbona simwelewagi jamani??? anafanya campaign kwa budget gani na kama nani?? Kwanza labda niulize! Hivi huyu mama ameenda shule kweli!!! Maana huwa naona kama thinking capacity yake ni ndogo sana. empty brain mama!!! She does not deserve this title (1st Lady) am sorry to say this. Say Big NO to his hubby.
 

Shule moja wanafunzi 1000 mwalimu mmoja!!

ZINDUKAAAAAAA
 

Umeshajulikana tatizo lako.Huyu mama ni mwalimu by profession na aliowanfundisha wanamfahamu.By that time sidhani kama ulikuwa unajua kutumia computer.
 

Kijijin kwetu zipo ambazo tayari zilikuwa zimeanza.2005 ni tamko tu but mpango ulikuwa umeshaanza.Akili zinakuruka??
 
Wewe ndio zuzu kabisa hata hujui kuwa mama yako alifundisha Mugabe halafu ndio akahamia Mbuyuni baada ya kustukiwa mambo flani na Babu Seya...

Mbona umetaja Mugabe peke yake?Twisting au?Ujumbe umefika.Glory be to God.Amani inatawala na itaendelea kutawala.We don't need a small group of people to use the government's weaknesses to fool people that they can make it all good.Imekula kwenu.Lia nikuone:becky:
 
Kijijin kwetu zipo ambazo tayari zilikuwa zimeanza.2005 ni tamko tu but mpango ulikuwa umeshaanza.Akili zinakuruka??
Sawa tuseme ni kweli kijijini kwenu zilianza 2005, JK ameingia ikulu December 2005 baada ya uchaguzi wa October 2005, so hizo ambazo zilikuwa zimeanza kijijini kwenu sio zao la JK bali la BM! Then kwa hesabu ile ile ya miaka 6 kuanzia form one hadi mwaka wa kwanza wa chuo kikuu basi hizo shule zilizokuwa zimeanza 2005, zao lake la kwanza ndio wamemaliza kidato cha sita mwaka huu, so wanasubiri majibu ya kujiunga na vyuo vikuu hapo November 2010, kwa maana hiyo bado ni pale pale HAKUNA WANAFUNZI WALIOTOKA SHULE ZA KATA WALIOKO VYUO VIKUU! THINK MAN! THINK DONT BE BLINDED BY YOUR PASSION TO CCM!
 


Who made them sail through mpaka leo?????????????????????????????????????????
 
[

Takwimu ya waliofanya mtiahani Form SIX 2010 kutoka NECTA hii hapa:


Kama kujiandikisha Form I-IV umefikia 1.5mil sasa inakuwaje wanaomaliza Form VI hawafiki hata 100,000?

u gat a point?? kuna uongo hapo, au na yeye anpewa takwimu za uongo kama mume wake??????????[/QUOTE]


Hivi honestly yeye unahitaji hata kumdanganya!!!??? maana hata kujua sidhani kama anajua ukweli na uongo ni upi... yeye ni kusoma tu alicho andikiwa ... kasuku ana afadhali!!!!!
 

Achana na huyo Tandale anaupungufu wa akili huyo!!
 

kumbe unajua Serikali yako ni weak, hapa tunawaaamusha watu watoke kwenye weak government
 

Kweli inawasaidia UWT tu. Kwa ubaguzi huu akafilie mbali
 

Katatue matatizo ya kwenu Tandale choo mlangoni ndiyo maisha bora kwa kila mtu wa Tandale
 
Who made them sail through mpaka leo?????????????????????????????????????????

They drowned you muppet.....2006 form I....2007 form II....2008 form III...2009 form IV...Results in 2010 with 65% candidates with division 0....you calll this sailing :lol::lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…