MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
View attachment 13524
Akiwa Makete na mapacha walioungana,Consolata na Imakulata mwaka 2008.
Mama salma , ana mpango wa kuwa mgombea urais?, 2015
acha ndoto wewe
Baada ya kupiga picha nao aliwasaidia vipi au ndio PR stunt kama ya mumewe na mamaye pale Regency Park....ha ha haa naona wameiondoa ile picha
watu madrassa nao bana ... lini utakuwa mhariri mkuu gazeti lenu maarufu la al jihad
Ndugu Lukolo na Msanilo, kwanza ni vyema kuwa na heshima kwa viongozi wako wa nchi . Onyesha utu kwani janga (disaster) mtu hachagui hta kesho yako wewe mwenyewe huijui tumwachie Mungu, tunachoshukuru Rais wetu na First Lady wetu ni wazima na Mungu aendelee kuwalinda. Kuhusu maendeleo naomba nikukumbushae mtaalam maalum mwanafalsafa ambaye amewahi kuwa Rais wa Urusi Bwana Lenin, alisema "two steps forward and one step backward" tunapozungumzia maendfeleo mtu anajum,uisha rasilimali nyingi za Serikali , wafadhili, na nguvu za wananchi ili waone chao , watakilinda , watakimiliki, watakiendeleza, na hatimaye watakistawisha. Hiyo ya
kupewa tu wat hawaelewi uchungu wake naomba ulielewe hilo na staili ya maendeleo ya kiongozi mmoja si lazima
mwingine aitumie ile ile.
Kinana umemuelewa?She speaks rubbish,, all the time..
For sure our constitution on on the dustbin how can the first lady campaign for the husband using government resource and we are just keeping quite...
One day they will pay.. One day... I mean one day...
Afadhali ya Mama Salima Kikwete kumsaidia Rais Kikwete kukampeini; after all, Salma ni mke wa Rais wa Tanzania! Lakini huyu kimada wa Dr Slaa (Josephine Mashumbushi) kuanza kupanda kwenye majukwa na kutamba, Watu wa Karatu najua kuwa mnajua ninawapenda ... mmesikia mengi lakini sitajibu kitu maana najua mtetezi wangu yu hai, haingii kabisa kichwani!
I hope una kadi ya mpiga kurakamgemro: Mimi si wa CCM..............................sina chama cha siasa!