Hili ndilo neno la Mungu kwa JamiiForums

kanonb

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
396
Reaction score
334
Kumbukumbu la Torati 20:1

[1]Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.

When thou goest out to battle against thine enemies, and seest horses, and chariots, and a people more than thou, be not afraid of them: for the LORD thy God is with thee, which brought thee up out of the land of Egypt.

Kwa uongozi mzima wa JAMII FORUMS MSIOGOPE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…