Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Baada ya kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya undefeated world champion Floyd Joy Maweather na Conor Anthony MacGregor ,hatimaye macho yote kwa wapenda boxing wote duniani tutayaelekeza katika viwanja vya T mobile arena Las Vegas.
Pambano hilo ambalo kwa namna moja au nyingine linatazamiwa kuwa pambano la kuvutia zaidi na litakalodumu kwenye vichwa vya watu na kuweka historia kwenye mchezo huu wa boxing litawakutanisha bondia asiye pigika Gennedy Gennadyevich Golovkin na Saul Santos Alvarez (Canelo)
GGG amepambana jumla ya mapambano 37 ameshinda yote , hajawahi kutoa sare wala kupigwa mapambano 33 ameshinda kwa K.O manne ameshinda ushindi wa kawaida.
Kwa upande was Canelo Alvarez yeye amepambana mapambano 51 ,ameshinda 49 ,34 ameshinda kwa knockout,ametoka sare pambano moja na Jorge Juarez mwaka 2006 pia amepigwa moja na Floyd Mayweather katika viwanja vya MGM Grand Arena mwaka 2013 .
Canelo pia alimtandika kwa knockout Kali sana bondia Amir Khan mwaka jana round ya sita .
Sasa je Canelo anaweza kuandika historia mpya kwenye mchezo was boxing kwa kumtandika Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG)?
Jibu la kitendawili chetu tutakipata mnamo tarehe 16 September 2017 katika kiwanja cha T mobile Arena.