Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Aisee.hili ndilo pambano la kuangalia ,mimi binafsi mapambano ya maywether siyaangaliaji simwaminigi hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.hili ndilo pambano la kuangalia ,mimi binafsi mapambano ya maywether siyaangaliaji simwaminigi hata kidogo
Were jamaa utakuwa na vitu hivi.GGG ana nguvu sana. Mayweather ni welterweight GGG ni middle weight bado mayweather amekuwa akibebwa baadhi ya mapambano ni droo ili kumjenga wanasema kashinda. angalia alivyopigana na jamaa anaitwa Jose Luis Castillo tafuta video utube uone kuwa mayweather anapigika sema Wamarekani ni watu wakutengeneza rekodi. Floyd asingeweza hata kwa dawa kutumia staili yake kwa GGG wameshidwa best middle weight champions Mayweather asingeweza hata kidogo. Na hata angetaka kupambana naye ngumi kwa ngumi bila kukwepa staili angepigwa tuu. angalia hiyo link halafu nambie https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=3&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwiQ2pT4_IbWAhXJuRoKHW8DDOIQtwIIMTAC&url=https%3A%2F%2Fwww.youtube.com%2Fwatch%3Fv%3DCHyb3OlfB9c&usg=AFQjCNFLtbZ5OhOPx6Wk8VvCWHNzVljRNghttps://www.google.com/url?sa=t&rct...OlfB9c&usg=AFQjCNFLtbZ5OhOPx6Wk8VvCWHNzVljRNg
jamani huyu Triple G (GGG) ni mtu hatari hamna tena. Kuna wakati Mayweather alikuwa anachonga ngenga jamaa akasema kama anataka pambano lipigwe tuu. GGG alisema hamuogopi Mayweather na staili yake ya 'Ping Pong' yaani ya kigana kwa kuvizia. (GGG yeye hupigana kwa kwenda mbele tu huwa harudi nyuma) Hata hivyo, Mayweather Sr. (Baba wa Mayweather) aliogopa akasema mwanake hawezi kupigana na 'Giant' akimaanisha GGG. Huyu jamaa anashikilia mikanda minne ya uzito wa middle weight kwa maana ya kuwa kawapiga mabondia wanne walikouwa mabingwa wa uzito wa middle weight. Canelo kwa upande wake ni uzito wa chini na siyo Middle weight. Canelo kuna baadhi ya mapambano amewahi kupewa ushindi lakini kiukweli ilikuwa kama kabebwa yalikuwa sare au alishindwa (mfano angalia pambano lake na Erislandy Lara (July 12, 2014). kwa upande wa GGG jamaa mapambano yake yote aliyoshinda hana hata chembe ya utata. mtafute u-tube ndo utamjua vizuri.[/QUOTmkuu nimekupata vyema, kuna mdau hapo juu nilikuwa namwambia mayweather alimuogopa huyu ggg yeye akawa anasema eti ggg ni mtoto mdogo kwa mayweather
GGG mabondia wengi aliopambana nao ni wakawaida sana.TUzuri ni kuwa Pretty Boy amepigana na mabondia wenye akili, wenye presha, wenye ngumi kali, kapambana nao wote hao. Na kapambana na wanaume wenye majina haswaa. Mfano
Many Pac
Maidana x2
Cotto
Oscar De La Hoya "Golden Boy"
Shane Mosley "Sugar"
Saul Alvarez "Canelo"
Marquez (Alimtwanga Manny KO mbaya sana)
Ricky Hatton
Zab Judah
Castillox2
Huyu jamaa GGG yupo toka mwaka 2006 inawezekana vipi alishindwa kupambana na manguli wa middleweights kama
Benard Hopkins "Executioner"
Jerman Taylor "The Apparent Heir"
Antonie Tarver
Jean Pascal
Chad Dawson
Niichogundua haraka haraka Mayweather ana haters wengi.Mapambano mengi ambayo watu wanadai ingekuwa ni drooo ukiangalia kwa umakini sana utaona wale mabondia walikuwa wanajua kabisa kuwa wanapigana na mtu mwenye akili ya ngumi.
Sasa walichokuwa wanafanya ni kupigana kwa kuwaonesha mashabiki kuwa wapo kwenye mechi. Na ilikuwa ni kazi rahisi kwenda mbele na kuapply pressure ili kumsukumiza Mayweather kwenye kamba lakini ngumi zilikuwa wala hazimfikii kwenye uso. Na hawa ni kama Oscar De La Hoya, Maidana, Manny Pac Berto,
Lakini watu waaminifu kama Canelo waliamua kuweka mkono kwa mkono waliambulia kichapo kitakatifu.
Hawamjui hawa, waambie...jamani huyu Triple G (GGG) ni mtu hatari hamna tena. Kuna wakati Mayweather alikuwa anachonga ngenga jamaa akasema kama anataka pambano lipigwe tuu. GGG alisema hamuogopi Mayweather na staili yake ya 'Ping Pong' yaani ya kigana kwa kuvizia. (GGG yeye hupigana kwa kwenda mbele tu huwa harudi nyuma) Hata hivyo, Mayweather Sr. (Baba wa Mayweather) aliogopa akasema mwanake hawezi kupigana na 'Giant' akimaanisha GGG. Huyu jamaa anashikilia mikanda minne ya uzito wa middle weight kwa maana ya kuwa kawapiga mabondia wanne walikouwa mabingwa wa uzito wa middle weight. Canelo kwa upande wake ni uzito wa chini na siyo Middle weight. Canelo kuna baadhi ya mapambano amewahi kupewa ushindi lakini kiukweli ilikuwa kama kabebwa yalikuwa sare au alishindwa (mfano angalia pambano lake na Erislandy Lara (July 12, 2014). kwa upande wa GGG jamaa mapambano yake yote aliyoshinda hana hata chembe ya utata. mtafute u-tube ndo utamjua vizuri.
We jamaa akili hauna.maneno ya Floyd Mayweather Sr (Alipoulizwa kuhusu Mayweather vs. GGG):
"I would say something about this GGG. GGG, hey, if GGG can make weight, that would be different, but -- no, no, we not fixin' to fight no damn giant. I'm gonna tell you like this right here. He comes down, he be at 154, by the time he eats and fight that night, maybe 180, you just don't know, man. People can eat up stuff, man, and hey. He don't need to fight nobody like that, man. Now they say that Floyd won't beat him, but I'm just telling you because, the guy is probably just so big and strong, man. Floyd probably, all he would be doing is, he'd take a lot of punches. He'd come in, Floyd would run the stuff off of him. But the whole thing is, it'd be a struggle, but Floyd probably could beat him. I can't say that he can't beat him."
Yaani strategy ya Mayweather ni hiyo hiyo ya kudokoa na kukimbia. Hata hivyo kwa staili hiyo Cotto alimsumbua Maidana pia na hata Old Pacquiao. Ni kwamba Mayweather amekuwa akingoja mabondia pale wanapotoka kwenye ubora ndo anataka kupigana nao. (Rejea pacquiao) ila kwa staili yake hiyo ya kupiga na kukimbia angepigwa punch hadi angezimia na GGG.
Yaani GGG ukikimbia atakuvunja hata hiyo mikono unayokinga au mabega unayokinga...maneno ya Floyd Mayweather Sr (Alipoulizwa kuhusu Mayweather vs. GGG):
"I would say something about this GGG. GGG, hey, if GGG can make weight, that would be different, but -- no, no, we not fixin' to fight no damn giant. I'm gonna tell you like this right here. He comes down, he be at 154, by the time he eats and fight that night, maybe 180, you just don't know, man. People can eat up stuff, man, and hey. He don't need to fight nobody like that, man. Now they say that Floyd won't beat him, but I'm just telling you because, the guy is probably just so big and strong, man. Floyd probably, all he would be doing is, he'd take a lot of punches. He'd come in, Floyd would run the stuff off of him. But the whole thing is, it'd be a struggle, but Floyd probably could beat him. I can't say that he can't beat him."
Yaani strategy ya Mayweather ni hiyo hiyo ya kudokoa na kukimbia. Hata hivyo kwa staili hiyo Cotto alimsumbua Maidana pia na hata Old Pacquiao. Ni kwamba Mayweather amekuwa akingoja mabondia pale wanapotoka kwenye ubora ndo anataka kupigana nao. (Rejea pacquiao) ila kwa staili yake hiyo ya kupiga na kukimbia angepigwa punch hadi angezimia na GGG.
Nikiambiwa nitaje list ya mabondia 50 pacquiao siwezi kumtaja.Hance,
Yaani ndugu kama unamuona Pacquiao ni mdogo kwenye ngumi kisa pambano la aliloshindwa kwa mayweather (ambalo watu wa ngumi wengi wamelirule kuwa ni droo sema kwakuwa mayweather hakuwahi kupoteza walimpa, basi ni maajabu). Man Pac ni bondia wa karne. Huyo Maidana alimsumbua Floyd hadi basi na alishawahi kuwa sparing partner wa GGG anasema GGG punch zake si za kitoto. Mayweather kasumbuliwa vibaya hata na Mosley. We huo ukubwa unaousema unaupimaje? Halafu mabondia Wamerekani ukipigana kwao then usipowapiga KO basi asilimia kubwa wanatabia ya kubebana. Ngoja uone mziki wake kwa CANELO nadhani unaweza hata kukisia. Kuna kabondia ka welteweight kalikuwa hakajawahi pigwa 'Kell Brook' kalichonga sana kuwa kanamtaka GGG kamepasuliwa fremu ya jicho (eye-socket) hadi kamekuwa karemavu (ingawa kinapigana) lakini hiyo eye-socket inamsumbua na uwezo wake umepungua juzi kati kutokana na ubovu huo kamepigwa na error spence wa Uingereza