Hili ndilo pambano la Millenium

Hili ndilo pambano la Millenium

GGG ana nguvu sana. Mayweather ni welterweight GGG ni middle weight bado mayweather amekuwa akibebwa baadhi ya mapambano ni droo ili kumjenga wanasema kashinda. angalia alivyopigana na jamaa anaitwa Jose Luis Castillo tafuta video utube uone kuwa mayweather anapigika sema Wamarekani ni watu wakutengeneza rekodi. Floyd asingeweza hata kwa dawa kutumia staili yake kwa GGG wameshidwa best middle weight champions Mayweather asingeweza hata kidogo. Na hata angetaka kupambana naye ngumi kwa ngumi bila kukwepa staili angepigwa tuu. angalia hiyo link halafu nambie https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=3&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwiQ2pT4_IbWAhXJuRoKHW8DDOIQtwIIMTAC&url=https%3A%2F%2Fwww.youtube.com%2Fwatch%3Fv%3DCHyb3OlfB9c&usg=AFQjCNFLtbZ5OhOPx6Wk8VvCWHNzVljRNghttps://www.google.com/url?sa=t&rct...OlfB9c&usg=AFQjCNFLtbZ5OhOPx6Wk8VvCWHNzVljRNg
Were jamaa utakuwa na vitu hivi.

1) Macho yako mabovu

2)Hujui mchezo wa ngumi

3)Unasukumwa na chuki binafsi dhidi ya mayweather.
 
jamani huyu Triple G (GGG) ni mtu hatari hamna tena. Kuna wakati Mayweather alikuwa anachonga ngenga jamaa akasema kama anataka pambano lipigwe tuu. GGG alisema hamuogopi Mayweather na staili yake ya 'Ping Pong' yaani ya kigana kwa kuvizia. (GGG yeye hupigana kwa kwenda mbele tu huwa harudi nyuma) Hata hivyo, Mayweather Sr. (Baba wa Mayweather) aliogopa akasema mwanake hawezi kupigana na 'Giant' akimaanisha GGG. Huyu jamaa anashikilia mikanda minne ya uzito wa middle weight kwa maana ya kuwa kawapiga mabondia wanne walikouwa mabingwa wa uzito wa middle weight. Canelo kwa upande wake ni uzito wa chini na siyo Middle weight. Canelo kuna baadhi ya mapambano amewahi kupewa ushindi lakini kiukweli ilikuwa kama kabebwa yalikuwa sare au alishindwa (mfano angalia pambano lake na Erislandy Lara (July 12, 2014). kwa upande wa GGG jamaa mapambano yake yote aliyoshinda hana hata chembe ya utata. mtafute u-tube ndo utamjua vizuri.[/QUOTmkuu nimekupata vyema, kuna mdau hapo juu nilikuwa namwambia mayweather alimuogopa huyu ggg yeye akawa anasema eti ggg ni mtoto mdogo kwa mayweather
 
mkuu,
ngoja tuone GGG vs. CANELO utaweza kukadiria. Mayweather alimpiga Canelo kwa pointi (of course Mayweather alidominate sana pambano hilo na alishinda very clear tofauti na hata alivyopigana na Mosley, Maidana, Pacquia, Cotto ambako kwa asilimia kubwa zilikuwa ni draw mechi ila akapewa). Tuangalia kama GGG atampiga Canelo kwa pointi au kwa knockout, au kama Canelo atampiga GGG hapa kidogo ndipo unaweza jua ubora wa GGG vs. Mayweather. Ingawa tungeuona vyema kama wangepina wenyewe Mayweather vs. GGG. To here, I reserve my opinion. To beleive is to see! Tchao!
 
Uzuri ni kuwa Pretty Boy amepigana na mabondia wenye akili, wenye presha, wenye ngumi kali, kapambana nao wote hao. Na kapambana na wanaume wenye majina haswaa. Mfano

Many Pac
Maidana x2
Cotto
Oscar De La Hoya "Golden Boy"
Shane Mosley "Sugar"
Saul Alvarez "Canelo"
Marquez (Alimtwanga Manny KO mbaya sana)
Ricky Hatton
Zab Judah
Castillox2

Huyu jamaa GGG yupo toka mwaka 2006 inawezekana vipi alishindwa kupambana na manguli wa middleweights kama

Benard Hopkins "Executioner"
Jerman Taylor "The Apparent Heir"
Antonie Tarver
Jean Pascal
Chad Dawson
 
TUzuri ni kuwa Pretty Boy amepigana na mabondia wenye akili, wenye presha, wenye ngumi kali, kapambana nao wote hao. Na kapambana na wanaume wenye majina haswaa. Mfano

Many Pac
Maidana x2
Cotto
Oscar De La Hoya "Golden Boy"
Shane Mosley "Sugar"
Saul Alvarez "Canelo"
Marquez (Alimtwanga Manny KO mbaya sana)
Ricky Hatton
Zab Judah
Castillox2

Huyu jamaa GGG yupo toka mwaka 2006 inawezekana vipi alishindwa kupambana na manguli wa middleweights kama

Benard Hopkins "Executioner"
Jerman Taylor "The Apparent Heir"
Antonie Tarver
Jean Pascal
Chad Dawson
GGG mabondia wengi aliopambana nao ni wakawaida sana.
 
Mapambano mengi ambayo watu wanadai ingekuwa ni drooo ukiangalia kwa umakini sana utaona wale mabondia walikuwa wanajua kabisa kuwa wanapigana na mtu mwenye akili ya ngumi.

Sasa walichokuwa wanafanya ni kupigana kwa kuwaonesha mashabiki kuwa wapo kwenye mechi. Na ilikuwa ni kazi rahisi kwenda mbele na kuapply pressure ili kumsukumiza Mayweather kwenye kamba lakini ngumi zilikuwa wala hazimfikii kwenye uso. Na hawa ni kama Oscar De La Hoya, Maidana, Manny Pac Berto,

Lakini watu waaminifu kama Canelo waliamua kuweka mkono kwa mkono waliambulia kichapo kitakatifu.
 
Niichogundua haraka haraka Mayweather ana haters wengi.
 
jamani huyu Triple G (GGG) ni mtu hatari hamna tena. Kuna wakati Mayweather alikuwa anachonga ngenga jamaa akasema kama anataka pambano lipigwe tuu. GGG alisema hamuogopi Mayweather na staili yake ya 'Ping Pong' yaani ya kigana kwa kuvizia. (GGG yeye hupigana kwa kwenda mbele tu huwa harudi nyuma) Hata hivyo, Mayweather Sr. (Baba wa Mayweather) aliogopa akasema mwanake hawezi kupigana na 'Giant' akimaanisha GGG. Huyu jamaa anashikilia mikanda minne ya uzito wa middle weight kwa maana ya kuwa kawapiga mabondia wanne walikouwa mabingwa wa uzito wa middle weight. Canelo kwa upande wake ni uzito wa chini na siyo Middle weight. Canelo kuna baadhi ya mapambano amewahi kupewa ushindi lakini kiukweli ilikuwa kama kabebwa yalikuwa sare au alishindwa (mfano angalia pambano lake na Erislandy Lara (July 12, 2014). kwa upande wa GGG jamaa mapambano yake yote aliyoshinda hana hata chembe ya utata. mtafute u-tube ndo utamjua vizuri.
Hawamjui hawa, waambie...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndugu yangu MPUNGA,

Hao uliowataja ni mabondia wa super middleweight (boxers weigh above 160 pounds (73 kg) and up to 168 pounds (76 kg).

GGG anapigana (the middleweight division is contested above 154 lb (70 kg) and up to 160 lb (73 kg).

Sasa Gennady Gennadyevich Golovkin (born 8 April 1982)anashikilia mikanda ifuatayo: WBA (Super), WBC, IBF, and IBO, wewe ulitaka awapige wakali gani maana wote waliokuwa na mikanda hiyo kawapiga. Ndugu yangu huyu jamaa ana punch siyo mchezo Mayweather hamwezi huyu hata kwa dawa. Huyu jamaa hata Pacquiao anamheshimu.

he is ranked as the world's best middleweight by BoxRec and the Transnational Boxing Rankings Board (TBRB), and second best by The Ring. He is also ranked as the world's second best active boxer, pound for pound, by The Ring
 
de0db97d84b61c4153f901d1172ce4cf.jpg
4d09cbc6b28649d5bedeeb2323314b4c.jpg
aad53d1513767d480198be64f00af8f8.jpg
a1c84427eef653bd6a4a52c143ba7194.jpg
canelo is good but not for this animal Tripple G
 
maneno ya Floyd Mayweather Sr (Alipoulizwa kuhusu Mayweather vs. GGG):

"I would say something about this GGG. GGG, hey, if GGG can make weight, that would be different, but -- no, no, we not fixin' to fight no damn giant. I'm gonna tell you like this right here. He comes down, he be at 154, by the time he eats and fight that night, maybe 180, you just don't know, man. People can eat up stuff, man, and hey. He don't need to fight nobody like that, man. Now they say that Floyd won't beat him, but I'm just telling you because, the guy is probably just so big and strong, man. Floyd probably, all he would be doing is, he'd take a lot of punches. He'd come in, Floyd would run the stuff off of him. But the whole thing is, it'd be a struggle, but Floyd probably could beat him. I can't say that he can't beat him."

Yaani strategy ya Mayweather ni hiyo hiyo ya kudokoa na kukimbia. Hata hivyo kwa staili hiyo Cotto alimsumbua Maidana pia na hata Old Pacquiao. Ni kwamba Mayweather amekuwa akingoja mabondia pale wanapotoka kwenye ubora ndo anataka kupigana nao. (Rejea pacquiao) ila kwa staili yake hiyo ya kupiga na kukimbia angepigwa punch hadi angezimia na GGG.
 
We jamaa akili hauna.

Sasa pacquiao na Floyd nani mkubwa?

Maidana na Floyd nani mkubwa?

Kama ngumi hauzijui bora ukae kimya tu usijiropokee.
 
maneno ya Floyd Mayweather Sr (Alipoulizwa kuhusu Mayweather vs. GGG):

"I would say something about this GGG. GGG, hey, if GGG can make weight, that would be different, but -- no, no, we not fixin' to fight no damn giant. I'm gonna tell you like this right here. He comes down, he be at 154, by the time he eats and fight that night, maybe 180, you just don't know, man. People can eat up stuff, man, and hey. He don't need to fight nobody like that, man. Now they say that Floyd won't beat him, but I'm just telling you because, the guy is probably just so big and strong, man. Floyd probably, all he would be doing is, he'd take a lot of punches. He'd come in, Floyd would run the stuff off of him. But the whole thing is, it'd be a struggle, but Floyd probably could beat him. I can't say that he can't beat him."

Yaani strategy ya Mayweather ni hiyo hiyo ya kudokoa na kukimbia. Hata hivyo kwa staili hiyo Cotto alimsumbua Maidana pia na hata Old Pacquiao. Ni kwamba Mayweather amekuwa akingoja mabondia pale wanapotoka kwenye ubora ndo anataka kupigana nao. (Rejea pacquiao) ila kwa staili yake hiyo ya kupiga na kukimbia angepigwa punch hadi angezimia na GGG.
Yaani GGG ukikimbia atakuvunja hata hiyo mikono unayokinga au mabega unayokinga...
 
Hance,

Yaani ndugu kama unamuona Pacquiao ni mdogo kwenye ngumi kisa pambano la aliloshindwa kwa mayweather (ambalo watu wa ngumi wengi wamelirule kuwa ni droo sema kwakuwa mayweather hakuwahi kupoteza walimpa, basi ni maajabu). Man Pac ni bondia wa karne. Huyo Maidana alimsumbua Floyd hadi basi na alishawahi kuwa sparing partner wa GGG anasema GGG punch zake si za kitoto. Mayweather kasumbuliwa vibaya hata na Mosley. We huo ukubwa unaousema unaupimaje? Halafu mabondia Wamerekani ukipigana kwao then usipowapiga KO basi asilimia kubwa wanatabia ya kubebana. Ngoja uone mziki wake kwa CANELO nadhani unaweza hata kukisia. Kuna kabondia ka welteweight kalikuwa hakajawahi pigwa 'Kell Brook' kalichonga sana kuwa kanamtaka GGG kamepasuliwa fremu ya jicho (eye-socket) hadi kamekuwa karemavu (ingawa kinapigana) lakini hiyo eye-socket inamsumbua na uwezo wake umepungua juzi kati kutokana na ubovu huo kamepigwa na error spence wa Uingereza
 
Nikiambiwa nitaje list ya mabondia 50 pacquiao siwezi kumtaja.

Pacquaio hata Maidana sidhani kama anamuweza.
 
yaani Pacquiao kwenye listi ya mabondia 50 huwezi mtaja? Utakuwa unajoke ni sawa na kusema Tanzania usimtaje Matumla kwenye mabondia bora kwakuwa alipigwa na Cheka
 
Back
Top Bottom