PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hilo adhabu yake ni kunyongwa.
Huwa nawaambia watu huyu mama wanaemkenulia ni mafia kuliko jiwe.ona kesi anazowapa wapinzani wake sasa.
Ni muumini wa utawala wa sheria, kwani hivyo vifungu havipo?
 
CCM wameomba wasaidiwe hali ni mnaya No reform ni balaa.

Hapo wanataka.walau miezi 2 ama 3 wapumue
Katibu mkuu wa ccm kwao ni kusini na alikuwa hukoz lakini hakuna anayeongelea hiyo safari zaidi ya wanaokula posho kwenye hizo ziara. Hapo unategemea wamuache Lisu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…